Wanajamiiforums, kwa wale waliobahatika kusoma kitabu hiki hakika watakubaliana nami kwamba mwandishi alijitahidi sana kuwa na connectivity nzuri ya matukio na kitabu kimejaa furaha na kutia huruma kwa baadhi ya wahusika.
Nimefurahishwa na safari ya Fr Moyo kule Ukerumani had alipokuja kuwa revealed kuhusu double crimes ya wizi na kifo cha Kalistus. Embu sema wewe kilicokuvutia- tujadili.