Namshangaa ndo maana nimemuuliza yeye ni Transcend ya GB ngapi au ni KB tu lolNa huu ni uchuro kweli, hebu atuache tuserebuke na mgeni wetu mwema Smiling Saint!
Kama hajaelewa si aombe afafanuliwe?
Be blessed my dear!...Thanks so much, and i appreciate your concern
Nyie bwana haya maneno yenu, watu waanze kuhisi unajitabiria kifo bure!
Hahahahaaa mi naomba uje na nazi za Bagamoyo....MIe naomba nisije na nilizokuja nazo majuzi but nije na mpya mooooooooore special kwa ajili yenu
Achana nae, inamana kweli hajaelewa ulichoandika?... Sante mwaya kwa kutujazia masifa mie na Swahiba Erick!why? nilikuwa nao siku chache zilizopita na ni watu wazuri kweli, very caring and loving we lived as if we knew each other since childhood kumbe tumefahamiana hapa JF tu!!!! I WILL NEVER FORGET THIS!!
Tunamtania tu kijana usijali wala kuhofuNaaomba tumsamehe tuuuu, maana hajui alisemalo!!!
Lol, itakuwa safi hiyo!MIe naomba nisije na nilizokuja nazo majuzi but nije na mpya mooooooooore special kwa ajili yenu
Afu wewe, uache kunichonganisha na mgeni..Umeona eeeeh
Halafu ana kesi ya kujibu....
hiyo itakuwa baadae hapa naipotezea
Kijana tatizo lenu mnajificha sana... Preta alijua hili na akawa busy sana.....Kaby hapatikani muda mrefu..Lily Flower alilijua pia....Kaka/dada sina hakika kama ulikuwa arusha....arusha hii hii...ngome ya kina piiijeeeey,pretta,lil flower,filipo,saharazone,derimto,kabakabana,filipo,freetown,teamo mimi,raiafulani,blackwoman,sweetldy,wiselady....et al!...
wewe hujaenda arusha wewe...!
Hahahahaaaa nitakuachia yooooteLol, itakuwa safi hiyo!
Afu ile ya juzi Erick alinipunja sana dis time ukikuja na ingine unipe mimi nigawe!
Alikuwepo arusha hii hii ya hao uliowataja tena kabla hajakuja aliweka tangazo humu humu chit chat!Kaka/dada sina hakika kama ulikuwa arusha....arusha hii hii...ngome ya kina piiijeeeey,pretta,lil flower,filipo,saharazone,derimto,kabakabana,filipo,freetown,teamo mimi,raiafulani,blackwoman,sweetldy,wiselady....et al!...
wewe hujaenda arusha wewe...!
Hahahahahaa kweli aisee hukuichukua tena na ndo ishakula kwako mazimahalafu ile uliniambia nichukue kwa erick sikuipata!!!?
Naona walikuwa kule kwenye jukwaa la stress hawakujua huu ujio muhimu kwa wana JF wa ATAlikuwepo arusha hii hii ya hao uliowataja tena kabla hajakuja aliweka tangazo humu humu chit chat!