Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 6,340
- 8,242
Wenzenu saivi wako na mashape ya ku edit sasa ww namba bane unamtaka atapoedit sindio tatizo huanzia apo alafu Aya makabila hawanaga uchoyo wapo kipesa zaidi😂
Masingle mama wote hawasahaugi walikobebea mimba huwamnaenda kupoza kolomeoSasa ukabila wa nin jamani
Nashukuru single mom tuna nafasi najipanga
Apia 🤣🤣Mbona umeguna? Hako ni kembamba kamenyooka Nlikaonaga selfika mwaka jana mwanzoni kama sio juzi.mwishoni
😂😂😂Hakika ndio shughuli ilobaki kwa dhama za saivUnataka uje uanze kunisumbua au
Anazunguka sana 😂😂😂😂😂Hakika ndio shughuli ilobaki kwa dhama za saiv
mbona yanazungumzika haya mama 😀[emoji57][emoji57][emoji57]
sina tatizo na single mamaSasa ukabila wa nin jamani
Nashukuru single mom tuna nafasi najipanga
Ni ganni?Jaman.. Kidogo tu ningepata mume.. Apo nimekosa kigezo😔
kwani DM imefungwa?Mbona sifa zote ninazoo jmn[emoji849][emoji849]
watajijuaWenzenu saivi wako na mashape ya ku edit sasa ww namba bane unamtaka atapoedit sindio tatizo huanzia apo alafu Aya makabila hawanaga uchoyo wapo kipesa zaidi😂
😂😂😂😂Mnamaaana sasaApia 🤣🤣
Itakuwa ulimuona demu wako, ukanimix nae
Mimi tena uyo unanikosea sana😂😂Anazunguka sana 😂😂
Ndo tushakosa mume hivo😂😂😂😂😂Sie wenye umbo namba tisa tutakomenti baadae 😂😂😂
Usipoteze tumaini mukosa kule uku kunatumaini jipya bado fanya ukuje tuyaongee uku😂Umri umenitoa kwenye vigezo daaaah
Aya baba nimekuelewa but Sina kigezo hata kimoja,kuanzia kabila Hadi umbo[emoji1]mbona yanazungumzika haya mama 😀
[emoji14] 😛
😂😂😂😂Nenda mkayajenge uyo na vigezo vyake mwache apeleke ushindani lkn kwa jita hapa hii imetokeajeAya baba nimekuelewa but Sina kigezo hata kimoja,kuanzia kabila Hadi umbo[emoji1]