Duh mkuu Mbimbinho duh kweli huyo Doc kajitahidi pamoja na kuwa na uchungu wa kupoteza mtoto bado ameweza kuperform surgery
Kwa wengine ni ngumu sana na kweli ametenda kitendo cha kishujaa sana wakati bado yuko kwenye majonzi ya kumpoteza mtoto wake
MkuuMr Rocky kwa kweli inahitaji kujitoa kufanya kazi hii. Hapo kwa jinsi yule baba wa mgonjwa alivyokuwa anaongea kama ingekuwa mimi sijui ingekuwaje aseee..
Mbimbinho [kwa wengine ilikuwa ni njia rahisi ya kurudia pale pale mlangoni hata huduma hapati
Maana kwa kero za yule baba wakati wewe una machungu yako ni mbaya sana
Ningeweza kurudia pale pale mlangoni hata surgery yenyewe nisifanye
Hahahaa, I wouldn't blame you for that mkuu, it really hurts.
Mkuu Mbimbinho inaumiza sio kidogo
Umerusha kuwahi wito na then unafika kufanya kazi yako someone anaanza kukublame kwa nini umechelewa hataki hata kusikia sababu z akuchelewa kwako
then at the end anataka bado ukae kumwambia kuwa mtoto wake anaendeleaje
Sijui kama huyo baba alipata guts za kwenda hata kumpa pole doc kwa kumpoteza mtoto wake
That's what I've been asking myself. Let's hope alienda kumpa pole na sorry. Kwa kweli inauma na inatia hasira. Situation kama hizi ndo mara nyingi hupelekea kesi ya kuua pasipo kukusudia asee.
Hapo note kwamba licha ya machungu ya kumpoteza mtoto wake alifanya surgery kw amoyo bila kukosea na kumuokoa mtoto wa mwenzake bila kinyongo licha ya maneno yote kutoka kwa baba wa mtoto
It really hurts mkuu, when I think of this Gov-Docs saga. That's how it is. Shame to everybody who despises madactari.
Mbimbinho hivi umeshawah kusikia mtu ameolewa kakuta mume ana mtoto wa mashtuzi, akajitahd aish na yule mtoto na hakuishia hapo akampa mtaji mama wa yule mtoto kwa kuconsider kuwa mama aliyezalishwa kwanza aliharibiwa na mumewe na akaitaji kumsaidia bila infuence yeyote ni just huruma tu kwamba ni mwanamke mwenzangu na aliyemuharibia maisha ni huyu bwana?I wish Mungu angenipa moyo kama wa huyu doctor for sure.
Mbimbinho hivi umeshawah kusikia mtu ameolewa kakuta mume ana mtoto wa mashtuzi, akajitahd aish na yule mtoto na hakuishia hapo akampa mtaji mama wa yule mtoto kwa kuconsider kuwa mama aliyezalishwa kwanza aliharibiwa na mumewe na akaitaji kumsaidia bila infuence yeyote ni just huruma tu kwamba ni mwanamke mwenzangu na aliyemuharibia maisha ni huyu bwana?
gfsonwin bado wapo watu ambao wana roho za huruma na upendoMbimbinho hivi umeshawah kusikia mtu ameolewa kakuta mume ana mtoto wa mashtuzi, akajitahd aish na yule mtoto na hakuishia hapo akampa mtaji mama wa yule mtoto kwa kuconsider kuwa mama aliyezalishwa kwanza aliharibiwa na mumewe na akaitaji kumsaidia bila infuence yeyote ni just huruma tu kwamba ni mwanamke mwenzangu na aliyemuharibia maisha ni huyu bwana?
Mr Rocky you are very right my brother ila watu hawa huwaga hata siyo kwamba wanauwezo sana ila ni watu wa huruma na utu wema na wenye upendo na daima ni watu wa kutanguliza wenzao mbele kuliko kutangulia yeye. Ila huwaga na wenyewe hawaishi marefu yani wanakufaga wakiwa bado watu wana wahitaj.gfsonwin bado wapo watu ambao wana roho za huruma na upendo
bado wapo wasiojali kupata shukrani wala nini wala wasiojali kuambiwa asante na wanafanya mambo ambayo mengine yapo nje ya uwezo wao bila kujali lolote
Ni wachache na ni wachache sana
Duh, mkuu hiyo ni ngumu sana kwa jamii hii ya ZinjanThropus. Inahitaji moyo wa kujitoa na huruma sana, unless you can't asee.!
gfsonwin nakubaliana na wewe sanaMr Rocky you are very right my brother ila watu hawa huwaga hata siyo kwamba wanauwezo sana ila ni watu wa huruma na utu wema na wenye upendo na daima ni watu wa kutanguliza wenzao mbele kuliko kutangulia yeye. Ila huwaga na wenyewe hawaishi marefu yani wanakufaga wakiwa bado watu wana wahitaj.