A True FATHER, Mhhhh, Baba aako Anaweza Hiiii

Ukiwa na baba na style za herini lazima ataweza
 
Huu wa shingoni ni mkufu au mnyororo, si atalemaa hiyo shingo mapema
 
A true father??....who knows??....hujui utafiti umeonyesha kuwa 60% ya watoto katika mafamilia si wa father-house?
 
A true father??....who knows??....hujui utafiti umeonyesha kuwa 60% ya watoto katika mafamilia si wa father-house?

Maadamu mama wa watoto hajatamka kwamba mtoto sio wa father-house ni poa tu.
 
Baba msani na mtoto kawa msanii, Bongo Baba waziri lazima mtoto aje kuwa waziri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…