Offline User
JF-Expert Member
- Dec 20, 2010
- 3,828
- 2,396
Hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa uwiiiiiii
are u touched by the story? Yeah, I can feel that! Hahahaa
Asante kwa kunifurahisha Phenomenal lakini hii kitu inafaa sana kule Jokes column.A little boy saw a kitten, he went near it and touched it. Again he touched it, again..... He touched it again for few hours, he went back home and came back and touched it again...! What a touching story!!!
Asante kwa kunifurahisha Phenomenal lakini hii kitu inafaa sana kule Jokes column.
No,, so fun
Kusema kweli Phenomenal, huo undani wa mahusiano kati ya 'boy'Hah hapa ndo mahala pake, boy alikua na "urafiki" wa dhati na "kitten". Hope umenipata
A little boy saw a kitten, he went near it and touched it. Again he touched it, again..... He touched it again for few hours, he went back home and came back and touched it again...! What a touching story!!!
Kusema kweli Phenomenal, huo undani wa mahusiano kati ya 'boy'
na 'kitten' sikuwa nimeupata. Labda ingekuwa 'a little boy' na 'a little girl'
picha ingeeleweka haraka zaidi.
Basi nikafikiri paka alimwambukiza ugonjwa wa pumu au baada ya kurudi alikuta yule paka kafa...!!! Gud story anyway
Kusema kweli Phenomenal, huo undani wa mahusiano kati ya 'boy'
na 'kitten' sikuwa nimeupata. Labda ingekuwa 'a little boy' na 'a little girl'
picha ingeeleweka haraka zaidi.
Nilijiandaa kusoma touching story...haya bhana
Kwani sio touching story mkuu?
Not at all kama unahusisha feelings, but km ulimaanisha touch ya kushika phyisically ok, you won
Hahahahah what a touching story,you rock damn!!