A Timeline of Events in Burundi (Part 1)

Huyu MK254 huwa anajifanyaga mlokole kumbe ni mnafiki na mzandiki,
Nimeshamwona hana tofauti na Wengine.
hahahaa, inaelekea ulishamtembelea kwenye lile sakata la facebook. Ni kweli jamaa ni mtu wa fellowship kwa wingi.
 
This time you have time? i remember tukilumbana nikikuletea vitu virefu kama hivi huwa unasema uko bize...au kwa sababu kaleta mchambawima1? 🙂

Taarifa zikiwa interesting inabidi nazitafutia muda na kuzisoma. Binafsi sijawahi ogopa kusoma, nina maktaba yenye vitabu vingi sana kwangu, kwa hivyo post yako moja haiwezi nipa tabu.
 
Huyu MK254 huwa anajifanyaga mlokole kumbe ni mnafiki na mzandiki,
Nimeshamwona hana tofauti na Wengine.
Hehehe!! Sasa mumeishia umbea wa kumjadili mwanaJF badala ya kuzijadili hizi series. Naomba tudadavue hizi taarifa na kubisha panapostahiki. Haswa wewe MALCOM LUMUMBA huwa nakuona kama upo vizuri, hivyo usijishushe halafu uwe ignored. Nina uhakika kuna wanaJF wenginwanafuatilia mada zako.
 
Hivi wewe nani kakwambia nipo hapa kutafuta sifa??
Na kwanini niogope hata watu wasionijua?? Give me a break!!!
Wewe Gikuyu hata hunijui ukini ignore utanisaidia nini???
Wewe kweli una wazimu.
 
Taarifa zikiwa interesting inabidi nazitafutia muda na kuzisoma. Binafsi sijawahi ogopa kusoma, nina maktaba yenye vitabu vingi sana kwangu, kwa hivyo post yako moja haiwezi nipa tabu.
sawa mkubwa.
 
Aisee bw MALCOM LUMUMBA.

samahani kunakijineno umedokeza humu kimenikumbusha neno.

Ni kuhusu jaribio la Rwanda kuua wanajeshi wa Tanzania waliokua DRC enzi za Desire Kabila.

Hii issue mara ya kwanza nilisikia toka kwa mjomba wangu ambaye ni mjeshi msitafu aliyekuwa huko Kongo. mjomba alikua katika kikosi cha mizinga. sasa akasema jambo hilo ktk sitori lakini.sikuchukulia maanani kwani wajeda wasitafu wanakuwaga na stori mingi.
 
Duh! hii ni hatari, ama ndio maana Watanzania wengi hutokwa na povu kila wakisikia jina Rwanda. Itakua wengi wameaminishwa kwamba jambo kama hili lilitendeka. Bora aje mtu na kutoa taarifa kamili ya jinsi lilitendeka na kwa manufaa ya wanaJF.
 
Hivi wewe nani kakwambia nipo hapa kutafuta sifa??
Na kwanini niogope hata watu wasionijua?? Give me a break!!!
Wewe Gikuyu hata hunijui ukini ignore utanisaidia nini???
Wewe kweli una wazimu.

Haha jibuzuri sana
Uogope Ku ignore na paparazi!!
Hahaha hiidunia vituko
Tatizo wakenya wanaishi kisifa zaidi
Hawatambui watu humu hatuishi kwa kumkalili mtu
Hakusaidii lolote,humjui,hakujui
Ujisumbue kuwaza ata Ku ignore!!
 
Aisee bw MALCOM LUMUMBA.

samahani kunakijineno umedokeza humu kimenikumbusha neno.

Ni kuhusu jaribio la Rwanda kuua wanajeshi wa Tanzania waliokua DRC enzi za Desire Kabila.

Hii issue mara ya kwanza nilisikia toka kwa mjomba wangu ambaye ni mjeshi msitafu aliyekuwa huko Kongo. mjomba alikua katika kikosi cha mizinga. sasa akasema jambo hilo ktk sitori lakini.sikuchukulia maanani kwani wajeda wasitafu wanakuwaga na stori mingi.
Mbona umekatiza story
 
Tunamlea Nkuru bila sababu za msingi

Jamaa amemea pembe sana. Japo ukisoma hizi series hiyo nchi aisei ina historia yenye matukio noma noma hadi inakua vigumu kumhukumu yeyote hiyo nchi.
 
Ukisoma History ya Burundi kabla ya mwaka 2003. Ni Historia ya Watusti kuuwa Wahutu.

Sababu hiyo tu. Nilipoyasoma mateso walipitia wanaharakati wa kihutu Burundi.

inanifanya kuona Nkurunzinza yuko sawa kuuwa hao Sindumuja.
 
Back
Top Bottom