A Adili JF-Expert Member Joined Nov 3, 2007 Posts 3,138 Reaction score 1,122 Apr 16, 2012 #1 Angalia ndugu wawili wanavyojieleza ....... ni yupi unafikiria ana dalili za kuhitimisha ndoto yake? THE TANZANIA DEVELOPMENT VISION 2025 Vision 2030 | Home Kenya
Angalia ndugu wawili wanavyojieleza ....... ni yupi unafikiria ana dalili za kuhitimisha ndoto yake? THE TANZANIA DEVELOPMENT VISION 2025 Vision 2030 | Home Kenya
J Juma123 Senior Member Joined Jan 23, 2012 Posts 193 Reaction score 47 Apr 16, 2012 #2 adili said: angalia ndugu wawili wanavyojieleza ....... Ni yupi unafikiria ana dalili za kuhitimisha ndoto yake? the tanzania development vision 2025 vision 2030 | home kenya Click to expand... mdau thread yako ina hoja kuntu, na changamoto kwetu sisi wote, lakini tulivyo hatutaichangia, tunapenda kuchangia sensetional news, na kuacha zenye mustakabali wa nchi yetu. Mungu ibariki tanzania!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
adili said: angalia ndugu wawili wanavyojieleza ....... Ni yupi unafikiria ana dalili za kuhitimisha ndoto yake? the tanzania development vision 2025 vision 2030 | home kenya Click to expand... mdau thread yako ina hoja kuntu, na changamoto kwetu sisi wote, lakini tulivyo hatutaichangia, tunapenda kuchangia sensetional news, na kuacha zenye mustakabali wa nchi yetu. Mungu ibariki tanzania!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Raia Fulani JF-Expert Member Joined Mar 12, 2009 Posts 11,866 Reaction score 4,266 Apr 16, 2012 #3 Japo sijaona nakubaliana na nyie. Hoja za kufikirisha zinaogopwa sana siku hizi