How?A strong economy starts with a strong middle class. Our plan
should be to create very strong and wider middle class in our country. When our middle class has more money in their pockets to spend and invest that is the only way our economy will grow and we will all benefit.
A nice idea. Under which ideology and what are the stratergies to archive your goal (s)?A strong economy starts with a strong middle class. Our plan
should be to create very strong and wider middle class in our country. When our middle class has more money in their pockets to spend and invest that is the only way our economy will grow and we will all benefit.
How?
Mhhhhunaweza kumnukuu mzee ruksa pia kuwa "biashara ni kuuziana na kununuliana" biashara ndio msingi wa uchumi.
ilikujenga uchumi imara focus inatakiwa ielekezwe katika kujenga uwezo wa watu kununuliana na kuuziana. Yaani uwezo wa kununua wa mtu ndio unaotengeneza ajira na ndio unaotengeneza kodi.
huduma yoyote ili ianzishwe katika jamii inaangalia market, yaani wanunuzi wa hiyo huduma, bidhaa yoyote ili izalishwe inaangalia "market" yaani wanunuzi.
unaweza kulitazama wazo hilikwa kuchukua kijiji chochote kilicho duni leo hii. kijiji hicho kina watu wengi lakini kutokana na vipato vyao hao wanakijiji biashara katika kijiji hicho ni duni. Yaani hakuna wanunuzi. lakini kijiji hicho ukiinua vipato vya wanakijiji mia tano kufikia kiwango cha kati. biashara nyingi zitashimiri pale kijijini kwa maana watu hawa wanaanza kutengeneza soko la bidhaa mbalimbali na hawa wanaofanya biashara nao wanapata vipato na kuzidi kukuza soko.
Mhhhh
Mbona Kama unazunguka? Labda niliweke swali hivi,
Utafanya nini ili kumuinua mtu wa hali ya chini kuwa middle class? (I don't even know what middle class is, yaani ni MTU mwenye kipato cha shillings ngapi).
Nisaidie mkuu I'm interested in this.
Thanks emalau, but empirically, Kwa Tanzania hao ni watu wenye kipato gani?The middle class is a class of people in the middle of a social hierarchy. In socio-economic terms, the middle class is the broad group of people in contemporary society who fall socio-economically between the working class and upper class. The common measures of what constitutes middle class vary significantly among cultures. A sizable and healthy middle-class can be viewed as a characteristic of a healthy society.
Others believe that machingas can do it!A strong economy starts with a strong middle class. Our plan
should be to create very strong and wider middle class in our country. When our middle class has more money in their pockets to spend and invest that is the only way our economy will grow and we will all benefit.
Mhhhh
Mbona Kama unazunguka? Labda niliweke swali hivi,
Utafanya nini ili kumuinua mtu wa hali ya chini kuwa middle class? (I don't even know what middle class is, yaani ni MTU mwenye kipato cha shillings ngapi).
Nisaidie mkuu I'm interested in this.
Thanks emalau, but empirically, Kwa Tanzania hao ni watu wenye kipato gani?
Mwalimu mwemye Diploma ya ualimu akimuoa katibu muhtasi Na wakapata watoto wanne. Je hii Ni middle class family?
Nauliza hivi Kwa sababu nadhani middle class is a Purchasing Power Parity - based concept.
Kwa US ni 100,000 to 250,000 depending on the state/city/neighborhood.
Kwa Tanzania, huwa nashindwa kuelewa.
Nadhani mkuu ukipitia sensa ya taifa 2012 inaweza ikawa na idadi ya watu wa pato la Chini, la kati na la juu kwa muda ule.Thanks emalau, but empirically, Kwa Tanzania hao ni watu wenye kipato gani?
Mwalimu mwemye Diploma ya ualimu akimuoa katibu muhtasi Na wakapata watoto wanne. Je hii Ni middle class family?
Nauliza hivi Kwa sababu nadhani middle class is a Purchasing Power Parity - based concept.
Kwa US ni 100,000 to 250,000 depending on the state/city/neighborhood.
Kwa Tanzania, huwa nashindwa kuelewa.
Mkuu mkimbili manyovuNadhani mkuu ukipitia sensa ya taifa 2012 inaweza ikawa na idadi ya watu wa pato la Chini, la kati na la juu kwa muda ule.
In our country the economic infrastructures step down the income generation. Various roads are seasonal and few tarmac roads. No various firms near the production areas since even those few are located in Dar es Salaam. Supply of power indeed still low across the country where firms can be established. The financial sector starts with BOT limits the supply of money through interest rates to Commercial Banks.