A strong economy starts with a strong middle class

Uanzishwaji wa viwanda wa Mwalimu nyerere ulifeli kwa sababu ya sera zilizotumika au "implementation program" ,

waliingiza siasa katika uendeshaji wa viwanda. mfano katika uanzishwaji wa viwanda hawakuangalia competion bali walitumia sera walizodhani ujamaa kugawanya viwanda nchi nzima, pili wakisema viwanda vinatengeneza ajira basi waliingiza watumishi viwandani si kwa ushindani na kuweka watumishi wengi kuliko uwezo wa kiwanda, mlolongo wa maamuzi uliathiri sana uendeshaji wa viwanda, mifumo ya kisiasa ilipewa kipaumbele kuliko mifumo ya kitaalamu.

Lazima utambue kuwa swala la kutumia kodi kulinda viwanda vya ndani ni la kitaalamu ila wazazi wetu walilichukulia kisiasa, mtu akisikia kuzuia bidhaa za nje basi analichukua hilo na kulifanya kisiasa. kuna mambo mengi yanayotakiwa kufanyika ikiwemo kuangalia ni bidhaa zipi kwa wakati gani na kwa viwango gani ziwekewe kodi ili kuchochea uzalishaji wa ndani
Nimekuelewa. Je,sera yetu ya ya sasa kuhusu uendelezaji na ujenzi wa viwanda inasemaje? Ni lini ilipitishwa? Na tumeshaiangalia kwa undani kama ina tofauti na waliotangulia? Naomba andiko lake ili niweze kukushauri au kuchangia vizuri. Asante.
 
A strong economy starts with a strong middle class. Our plan
should be to create very strong and wider middle class in our country. When our middle class has more money in their pockets to spend and invest that is the only way our economy will grow and we will all benefit.
The middle class is never made, it evolves automatically from a series of positive fiscal policies. It combines education, a work ethic and an entrepreneurial spirit. It is killed by extortionary taxation and uneven playing fields.
 
nadhani msemo wako una ndimi mbili, yaani unasema huwezi kutengeneza "middle class" lakini hapo hapo unasema ukiweka sera nzuri na mifumo mizuri ya kodi tabaka hili linaibuka.

nadhani huko ndiko kutengeneza kwenyewe kuwa tabaka hili unaweza kulitengeneza kwa kuweka sera nzuri na mifumo mizuri ya kodi na hivi visipokuwa vizuri basi unaweza kuua hata lile ulilokwisha tengeneza.
 
Nimekuelewa. Je,sera yetu ya ya sasa kuhusu uendelezaji na ujenzi wa viwanda inasemaje? Ni lini ilipitishwa? Na tumeshaiangalia kwa undani kama ina tofauti na waliotangulia? Naomba andiko lake ili niweze kukushauri au kuchangia vizuri. Asante.

ki msingi sera ni mwongozo unaotoa dira ya utekelezaji uweje hivyo kwa mtu wa kawaida hahitaji kutafuta makablasha kuyasoma bali kutizama kinachotekelezwa hizo ndizo sera. ingawa wanaweza kuandika tofauti na wakafanya tofauti lakini wanachotekeleza ndio sera sahihi.

lakini wahusika nahisi wamo kwenye mitandao hii hivyo ni vema tunapokuwa na dukuduku kama hizi watuwekee kwa kifupi sera zao zinasemaje na wanakoelekea ni wapi?
 
Mhh kumbe nawe hujaiona! Kwa namna post ilivyo, nilijua mletaji anaijua vyema sera ya viwanda ili tuijadili.
 
ki msingi sera ni mwongozo unaotoa dira ya utekelezaji uweje hivyo kwa mtu wa kawaida hahitaji kutafuta makablasha kuyasoma bali kutizama kinachotekelezwa hizo ndizo sera. ingawa wanaweza kuandika tofauti na wakafanya tofauti lakini wanachotekeleza ndio sera sahihi.

lakini wahusika nahisi wamo kwenye mitandao hii hivyo ni vema tunapokuwa na dukuduku kama hizi watuwekee kwa kifupi sera zao zinasemaje na wanakoelekea ni wapi?
Leo 1.1.17 Star TV,kipindi cha tuongee asubuhi, mada:Kupanga ni kuchagua. Yupo Mama Getrude Mongela na wengine. Wanakiri sera ya viwanda haipo,na kama ipo haijaeleweka vizuri. Ametoa mifano mingi,na kasema yawezekana tumepanda gari moja huku tukienda sehemu tofauti,baadhi kinyume na mwelekeo wa basi. Tune Star Tv uipate live!
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom