A strong economy starts with a strong middle class

ego

JF-Expert Member
Apr 10, 2013
1,375
2,000
A strong economy starts with a strong middle class. Our plan
should be to create very strong and wider middle class in our country. When our middle class has more money in their pockets to spend and invest that is the only way our economy will grow and we will all benefit.
 
Kobello

JF-Expert Member
Feb 20, 2011
6,927

How?
 
Kididimo

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
3,158
2,000
A strong economy starts with a strong middle class. Our plan
should be to create very strong and wider middle class in our country. When our middle class has more money in their pockets to spend and invest that is the only way our economy will grow and we will all benefit.
A nice idea. Under which ideology and what are the stratergies to archive your goal (s)?
 
ego

JF-Expert Member
Apr 10, 2013
1,375
2,000
unaweza kumnukuu mzee ruksa pia kuwa "biashara ni kuuziana na kununuliana" biashara ndio msingi wa uchumi.

ilikujenga uchumi imara focus inatakiwa ielekezwe katika kujenga uwezo wa watu kununuliana na kuuziana. Yaani uwezo wa kununua wa mtu ndio unaotengeneza ajira na ndio unaotengeneza kodi.

huduma yoyote ili ianzishwe katika jamii inaangalia market, yaani wanunuzi wa hiyo huduma, bidhaa yoyote ili izalishwe inaangalia "market" yaani wanunuzi.

unaweza kulitazama wazo hilikwa kuchukua kijiji chochote kilicho duni leo hii. kijiji hicho kina watu wengi lakini kutokana na vipato vyao hao wanakijiji biashara katika kijiji hicho ni duni. Yaani hakuna wanunuzi. lakini kijiji hicho ukiinua vipato vya wanakijiji mia tano kufikia kiwango cha kati. biashara nyingi zitashimiri pale kijijini kwa maana watu hawa wanaanza kutengeneza soko la bidhaa mbalimbali na hawa wanaofanya biashara nao wanapata vipato na kuzidi kukuza soko.
 
Mhhhh
Mbona Kama unazunguka? Labda niliweke swali hivi,
Utafanya nini ili kumuinua mtu wa hali ya chini kuwa middle class? (I don't even know what middle class is, yaani ni MTU mwenye kipato cha shillings ngapi).
Nisaidie mkuu I'm interested in this.
 
emalau

JF-Expert Member
Apr 25, 2009
2,741

The middle class is a class of people in the middle of a social hierarchy. In socio-economic terms, the middle class is the broad group of people in contemporary society who fall socio-economically between the working class and upper class. The common measures of what constitutes middle class vary significantly among cultures. A sizable and healthy middle-class can be viewed as a characteristic of a healthy society.
 
Gamba la Nyoka

JF-Expert Member
May 1, 2007
6,919
2,000
the government should through Tax incentives let people have more income for the purpose of creating a taxable populace in the future, otherwise tutapiga marktime weee kwa kuongeza kodi kwenye pombe!
 
Kobello

JF-Expert Member
Feb 20, 2011
6,927
2,000
The middle class is a class of people in the middle of a social hierarchy. In socio-economic terms, the middle class is the broad group of people in contemporary society who fall socio-economically between the working class and upper class. The common measures of what constitutes middle class vary significantly among cultures. A sizable and healthy middle-class can be viewed as a characteristic of a healthy society.
Thanks emalau, but empirically, Kwa Tanzania hao ni watu wenye kipato gani?

Mwalimu mwemye Diploma ya ualimu akimuoa katibu muhtasi Na wakapata watoto wanne. Je hii Ni middle class family?

Nauliza hivi Kwa sababu nadhani middle class is a Purchasing Power Parity - based concept.

Kwa US ni 100,000 to 250,000 depending on the state/city/neighborhood.

Kwa Tanzania, huwa nashindwa kuelewa.
 
Nena

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
2,306
2,000
A strong economy starts with a strong middle class. Our plan
should be to create very strong and wider middle class in our country. When our middle class has more money in their pockets to spend and invest that is the only way our economy will grow and we will all benefit.
Others believe that machingas can do it!
 
ego

JF-Expert Member
Apr 10, 2013
1,375
2,000
Mhhhh
Mbona Kama unazunguka? Labda niliweke swali hivi,
Utafanya nini ili kumuinua mtu wa hali ya chini kuwa middle class? (I don't even know what middle class is, yaani ni MTU mwenye kipato cha shillings ngapi).
Nisaidie mkuu I'm interested in this.
Thanks emalau, but empirically, Kwa Tanzania hao ni watu wenye kipato gani?

Mwalimu mwemye Diploma ya ualimu akimuoa katibu muhtasi Na wakapata watoto wanne. Je hii Ni middle class family?

Nauliza hivi Kwa sababu nadhani middle class is a Purchasing Power Parity - based concept.

Kwa US ni 100,000 to 250,000 depending on the state/city/neighborhood.

Kwa Tanzania, huwa nashindwa kuelewa.
ni bora tuwe tunatafsiri mambo haya katika mazingira yetu. ki msingi sielewi kama tuna tafiti zinazotupatia realistic figure bali tunaweza kujenga mawazo kwa kutizama makundi ya watu na hayo ndio iwe focus yetu tunaposema class fulani tutaseme labda ni watu wenye uwezo wa kufanya moja mbili tatu.

mfano leo hii ukifanya tathmini ya vipato vya watanzania let say kwa wale walioko katika soko la ajira unaweza kukuta vipato vya chini ni asilimia 50, kati 37 na juu 13.

ili uweze kutoa watu kwenye hiyo asilimia 50 ya chini kuwaingiza katika kwenye asilimia 37 ili figure hizi zibadilike inabidi utizame kuwa lile tabaki la chini mtaji wao ni nguvu na tabaka la kati wao ni soko.

unaweza kupunguza viwango vya kodi ili watu hawa wenye fedha ya kununua wapate fedha ya kununua zaidi ya bidhaa walizokuwa wakinunua. wachumi wa afrika utawasikia wanajigamba kwa kuleta mikakati ya kufunga mkanda mikakati ambayo inatoa watu katika tabaka la kati na kuwarudisha chini.

unaweza kuelekeza fedha za watu wa kati ziende kwa tabaka hili la chini mfano kuongeza kodi bidhaa za nje na kupunguza au kuondoa kodi bidhaa za ndani. wanasema hakuna mnunuzi mzalendo popote duniani, mnunuzi anaangalia bei na ubora hivyo nijukumu la serikali kutumia kigezo cha bei kutafuta soko kwa watu.

unapomtengenezea fursa ya kuzalisha mtu wa chini ndio njia pekee ya kumfanya apate kipato. sio kutafuta kumpatia huduma katika umasikini wake.
 
TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
15,867
2,000
That model works for Capitalism. For Social and self-reliance your model does not work. Remember, Our Constitution reorganises Social and self-reliance system as mode of running our 'business'.
 
mkimbili manyovu

JF-Expert Member
Sep 11, 2016
221
250
In our country the economic infrastructures step down the income generation. Various roads are seasonal and few tarmac roads. No various firms near the production areas since even those few are located in Dar es Salaam. Supply of power indeed still low across the country where firms can be established. The financial sector starts with BOT limits the supply of money through interest rates to Commercial Banks.
 
mkimbili manyovu

JF-Expert Member
Sep 11, 2016
221
250
Thanks emalau, but empirically, Kwa Tanzania hao ni watu wenye kipato gani?

Mwalimu mwemye Diploma ya ualimu akimuoa katibu muhtasi Na wakapata watoto wanne. Je hii Ni middle class family?

Nauliza hivi Kwa sababu nadhani middle class is a Purchasing Power Parity - based concept.

Kwa US ni 100,000 to 250,000 depending on the state/city/neighborhood.

Kwa Tanzania, huwa nashindwa kuelewa.
Nadhani mkuu ukipitia sensa ya taifa 2012 inaweza ikawa na idadi ya watu wa pato la Chini, la kati na la juu kwa muda ule.
 
Kobello

JF-Expert Member
Feb 20, 2011
6,927
2,000
Nadhani mkuu ukipitia sensa ya taifa 2012 inaweza ikawa na idadi ya watu wa pato la Chini, la kati na la juu kwa muda ule.
Mkuu mkimbili manyovu
Kwa nilivyoangalia sources mbalimbali, jinsi tofauti ya kuelewa middle class Na Kwa Tanzania hakuna census inayoelezea middle class directly.

Socially census ya 2012 imetoa takwimu za watu wenye nyumba wenye maji, umeme, etc

Economically sijaona.

WB Na AFDB wametoa range ya $2 -$20 Kwa siku yaani (1.5m - 15m Kwa mwezi).

Na wamesema Ni 12% ya watanzania Na 18% ya waganda.

Is ukiangalia uchumi wa Tanzania Ni Bora kuliko Uganda.

Ndiyo maana nauliza, middle class Ni nini? Ni kina Nani hao? Niambie Ni watu wa Aina gani.
 
ego

JF-Expert Member
Apr 10, 2013
1,375
2,000
In our country the economic infrastructures step down the income generation. Various roads are seasonal and few tarmac roads. No various firms near the production areas since even those few are located in Dar es Salaam. Supply of power indeed still low across the country where firms can be established. The financial sector starts with BOT limits the supply of money through interest rates to Commercial Banks.
wasiwasi wangu ni kuwa wakati mwingine wachumi wetu wamekuwa wakivipa kipaumbele vitu ambavyo si vya kwanza na kuacha vile vya kwanza na hii imekuwa ni mtihani mkubwa.

kitu cha kwanza katika uchumi si miundo mbinu wala mitaji kama ambavyo serikali zetu zimekuwa zikiwekea mkazo bali ni ni "supply and demand"

ukirejea katika heading maudhui yake ni kujaribu kusema jambo la mkazo ni kutengeneza strong demand.
tukisha tengeneza demand then to create chance kwa producers to produce kwa ajili ya hiyo demand na hapo ndipo jambo la pili linakuwa kuangalia business katika ya consumer na producers zinakabiliwa na changamoto gani hapa tunaongelea miundombinu, mitaji, maarifa nk.

wakati business inafanyika tax katika business husika ndizo zitakazotumika kutatua changamoto katika biashara hiyo. hivyo tusiwaze kuwa mpaka miundo mbinu ikae vizuri ndio tutaanza kuzalisha, mpaka watu watu wetu wawe specialist katika sekita zao, mpaka watu wetu wawe na mitaji ya kuanzisha mambo makubwa. Wenzetu walianzia chini wakakua wakafikia juu kwa leo hii wanaweza kuwa na miundombinu mizuri, mitaji mikubwa na wataalamu wakutosha. Kwetu sisi tujitambue hali yetu ni ipi na tutafute mbinu za kuingia katika busness kwa kutumia hali yetu na sio kufikiri ili tuingie ni lazima tufanane na wenzetu kitu ambacho hakitakuja kutokea kufikiri masikini kuna siku atakuwa kama tajiri na hapo ndipo ataanza kuzalisha. kuwaza kujenga miundombinu bora, kuwa na wataalamu wa kutosha, kuwa na mitaji huo ndio utajiri na jamii za watu masikini haziwezi kufika huko bila kuzalisha na kufanya biashara. ili wafikie hatua hiyo inabidi wazalishe katika mazingira yao ya umasikini na faida kidogo kidogo wanayopata ndiyo itawasaidia kudunduliza kupata mitaji, miundombinu na wataalamu.

tukijikita katika kutengeneza vitu hivi vya pili tutajikuta unatumia gharama kutengeneza wataalamu lakini unatengeneza wahandisi wanaoendesha maisha kwa kilimo, unajenga miundombinu ambayo mpaka inaharibika hujarudisha gharama zilizotumika, unawapa watu mikopo ya mitaji lakini kwa kukosa business opportunities wanafilisika na mitaji kupotea.
 
PanAfricanists.

Senior Member
Jan 22, 2016
179
250
Ni laisi sana kuinuwa watu wa chini ili wafikie kwenye kipato cha kati kama serikali imezamilia. mfano chukulia maeneo wanapoishi watu wengi ni vijijini. na panga katika bajeti ya mwaka mmoja labda trillioni moja tenga kwa ajiri ya kilimo. angalia nchi zilizokuzunguka zinaitaji mazao gani kwa kipindi cha mwaka mzima. Tengeneza umoja wa vikundi vya vijana. uwapatie wataalamu, mbegu na uhangalizi wa kina. ndani ya mwaka mmoja utaweza kuzalisha mara tatu ya hicho kipato . kikubwa ni kutumia wataalamu zaidi na kuwasikiliza. utakuwa umewapa vijana wengi nyenzo kama maarifa, mitaji na pia uchumi wa kati. ndivyo china ilivyofanikiwa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom