Miss uOooh huyu wifi yako usijali dr
Ntaenda wapi bina. Nipo sana tu nanyapia nyapia
Paul yupo, majukumu tuPaul ulimpeleka wapi?
Magazeti yapo likizo kidogo haha, uhenga huu acha tuAisee, mie kitambo kweli nimekuona, Na magazeti siku hizi siyaoni
Miss you too binaLoohjMiss u
Hahahaha polee na karibu chamaniNakaribia kua single mom soon hodi chamani Mara EF mia kua single mom kuliko mateso ya ndoa.
Ahahahahah sijui atabebea wapiMtafutieni fuko la mimba nae abebe
Naomba niku-pm.Aisee habari? I'm sorry nilikuacha njia panda coz nilihamia foreign mission somewhere.... vipi ulifanikiwa?
ahaha mama sabrina kumbe mna chama teh teh tehHahahaha polee na karibu chamani
Eeee chama kubwa sana kama ccmahaha mama sabrina kumbe mna chama teh teh teh
Yumo ndoani imemchoshaUnakua singo mom unaacha ndoa au hujawahi pata ndoa?
hivi nambie huwa kuna chama cha ma single father huwa mnawasilianaEeee chama kubwa sana kama ccm
Pole shogaa cha muhimu furahaAsante kwa kunijibia