A song 4 gaddafi

jockey emmanuel

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
330
50
SONG;LUV YAH GADAFFI
ARTIST;FRADISH
PRODUCER;REBBY BEBI
STUDIO;JOCKEY4LYF PRODUCTION

ILANI;USIKOPI CHOCHOTE BILA IDHINI YANGUUUUU....

CHORUS
aaaaaaaaaaaa
ma luv2u was xo tru
aaaaaaaaaaaa
bt they decided 2 kill u
aaaaaaa
4 sure amma mic u
yeah yeah
Muhammar Gadaffi


verse 1;
simu illilia ting ting
it was morning
habari zkazagaa
ya kwamba umeuliwa
kwa kweli nilishangaa
nilipatwa na fadhaa
(stak kuamini)|*2
nikavunja na sahani
ulikuwa ni shujaa
kweli sikutegemea
ckatai u were wrong
in sam aspects
bt hata hongkong
waliku respect
libya hawakukosa tende
leo wanakuita mende
mema mengi ulifanya
leo wanakuita panya
4 sure dic znt fair
even da world znt aware
i salut u kamanda
GADAFFI

(CHORUS)


...........VERSE 2 N HOOK NXT TYM.....PAMOJA SANA!VERSE 2 INA MABAYA YOTE ALOfanya Gadaffi...REST IN PEACE MUHAMMAR GADAFFI...AKUMBUKWE SIMBA WA AFRIKA....
 
Back
Top Bottom