Mkuu,
Nilifikiri umenidanganya. Imebidi niingie GOOGLE EARTH na kuhakikisha. Sijawahi kusikia kabisa hii kitu ila naona itakuwa bado mpya kabisaa.
Swali lako naona inabidi Archmedes Principal ziwe kichwani.
Asante kwa kutupasha habari. Wageruman naona wanatesa sana na hii aina ya Zege wanayotumia kujenga. Hata Railway Statio yao, ukiona vinguzo vidogo wala huamini Matrain yanakuja na kusimama hapo. Na kibaya zaidi yanakuja na kufunga break ambapo yanatengeneza mitetemoko na horizontal forces zinazopingana na fricton ya Train kufunga break.
Ngoja nikimbie, ntakuja kesho nipate shule zaidi ya uzito unaobebwa na daraja maana bado sijaridhika na hilo jibu.