A River Over A River In Germany | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

A River Over A River In Germany

Discussion in 'Jamii Photos' started by X-PASTER, Dec 5, 2009.

 1. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #1
  Dec 5, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  A River Over A River In Germany

  Have you ever seen a Water Bridge over a river?

  Even after you see it, it is still hard to believe!
  Water Bridge in Germany. What a feat!


  [​IMG]

  Six years, 500 million euros, 918 meters long...

  now this is engineering!
  This is a channel-bridge over the River Elbe and joins the former East and West Germany, as part of the unification project. It is located in the city of Magdeburg, near Berlin.
  The photo was taken on the day of inauguration.


  To those who appreciate engineering projects, here's a puzzle for you armchair


  Engineers and Physicists.
  Did that bridge have to be designed to withstand the additional weight of ship and barge traffic, or just the weight of the water?
  |

  |
  |
  V

  |

  |
  V

  |
  |
  |
  V

  |

  |

  |
  V

  |
  v
  |
  v

  |
  v

  Answer:
  It only needs to be designed to withstand the weight of the water!

  Why?

  A ship always displaces an amount of water that weighs the same as the ship,
  regardless of how heavily a ship may be loaded.

   

  Attached Files:

  • wr.jpg
   wr.jpg
   File size:
   99.4 KB
   Views:
   1,265
 2. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #2
  Dec 5, 2009
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Mkuu,

  Nilifikiri umenidanganya. Imebidi niingie GOOGLE EARTH na kuhakikisha. Sijawahi kusikia kabisa hii kitu ila naona itakuwa bado mpya kabisaa.

  Swali lako naona inabidi Archmedes Principal ziwe kichwani.

  Asante kwa kutupasha habari. Wageruman naona wanatesa sana na hii aina ya Zege wanayotumia kujenga. Hata Railway Statio yao, ukiona vinguzo vidogo wala huamini Matrain yanakuja na kusimama hapo. Na kibaya zaidi yanakuja na kufunga break ambapo yanatengeneza mitetemoko na horizontal forces zinazopingana na fricton ya Train kufunga break.

  Ngoja nikimbie, ntakuja kesho nipate shule zaidi ya uzito unaobebwa na daraja maana bado sijaridhika na hilo jibu.
   
 3. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #3
  Dec 6, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Sawa mkuu nimekupata, ila sometimes think positive mkuu ni ushauri tu.
   
 4. Serendipity

  Serendipity JF-Expert Member

  #4
  Dec 6, 2009
  Joined: Jan 24, 2009
  Messages: 475
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Hii issue nadhani ni ya Ujerumani na kuna mdau wa JF alishaitoa hapa!
   
 5. r

  ramson34 Senior Member

  #5
  Dec 7, 2009
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hili jambo la kwaida tu,hakuna kipya hata sisi mbona tunaruka usiku bwana tena kwa dakika chache tunasafiri miles kibao!!!
   
 6. Mwana va Mutwa

  Mwana va Mutwa JF-Expert Member

  #6
  Dec 7, 2009
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 429
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  kusema ukweli kabisaaaaaaa hili jambo bwana ni ajabu mimi sijawahi kuona ndio nalipata hapa.
  mkuu asante kwa kutuletea hii hapa naamini imewafumbua wengi
   
Loading...