A random questions thread. Let's go!

What attracts you from an opposite gender?
 
Are you introverted, extroverted or ambiverted?
 
Worst experience at a government office?
 
Kwa jf hii ya sasa watu watakuwa wanajinyofolea Uzi hapa wanaenda kuuanzia tena huko mbele
 
Kwanini jamii nyingi zilizopo pwani karibia duniani kote kiwango cha matukio ya kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja yapo juu sana? Case study mombasa, Zanzibar DSM,tanga n.k
 
Kwanini jamii nyingi zilizopo pwani karibia duniani kote kiwango cha matukio ya kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja yapo juu sana? Case study mombasa, Zanzibar DSM,tanga n.k
Kwa sababu wapo karibu mno na Mapepo wachafu wanaopatikana baharini

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Thread mbovu kabsa ya kufungia mwaka? , wanafunzi wa mwaka wa kwanza bana. Yaan maswal ya research ndo unafungulia Uzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…