Huyu kakopy mada yangu ndo kaileta hapaMkuu mada yako haina nyama wala mifupa, kichwa tu.
Mada ya ACT kufungua kesi.. ila mahakama iwape ushindi uonekane mahakama ni Huru mbele ya msajili wa vyamaHuyu kakopy mada yangu ndo kaileta hapa
Mada ya ACT kufungua kesi.. ila mahakama iwape ushindi uonekane mahakama ni Huru mbele ya msajili wa vyama
wewe umeongelea mahakama, sijaongelea mahakama .Mahalkama is one component. Mine encompasses a holistic approach to the Mwabukusi visit and the likely outcome response by Samia!Huyu kakopy mada yangu ndo kaileta hapa
Jaji atatumia katiba ya JMT inayotoa Haki ya Raia Kugombea na Kupiga kura bila mashartiMahakama labda itumie sababu nyingine ila kisheria ACT walikosea.
Hata kichwa hainaMkuu mada yako haina nyama wala mifupa, kichwa tu.
One nationwewe umeongelea mahakama, sijaongelea mahakama .Mahalkama is one component. Mine encompasses a holistic approach to the Mwabukusi visit and the likely outcome response by Samia!
Itakuwa kituko cha Karne. Mahakama ionekane huru kwa kukubaliana na watu wanaoshindwa kuheshimu katiba yao?Mada ya ACT kufungua kesi.. ila mahakama iwape ushindi uonekane mahakama ni Huru mbele ya msajili wa vyama
Brii huu uzi wako uliosema utaupandisha X umeshauweka niende?Nimeiona Sehemu hii mada au Niweee ? Au umekopi
Kwa hiyo hii ndio articulated move by ccm, a move that we can all see?wewe umeongelea mahakama, sijaongelea mahakama .Mahalkama is one component. Mine encompasses a holistic approach to the Mwabukusi visit and the likely outcome response by Samia!
Yes, unamuengua, then anakwenda mahakamani anashinda, anarudishwa. Image ya mahakama kuwa independent inapanda..au wewe unaonajeKwa hiyo hii ndio articulated move by ccm, a move that we can all see?