A Police State

Nchi ya ahadi.

Nasubiri maji niliyoahidiwa awamu ya tatu mwaka 2000 bado hayajafika.

Vijana wanasubiri ajira walizoahidiwa october mwaka jana.
 
Walituhaidi tanzania ya viwanda badala yake tumepata police state
 
Tanzania Police state.......
It's time for our law enforcers to change their minds.
Kuna clip niliona zonal police commander a nao nyesha. Tshirt yaani anaongea politics tu
Nadhani ni muda wao kufanya kazi kwa ueledi

Leo tena naona majemedari wengine wapo na Paul Makonda kwenye press conference....sijajua umuhimu wao kujazana vile
 
Reactions: BAK
Which way shall be suitable for a Police State to hear?
 
Nakuaminia mkuu, hivi jiji uliopo wewe ni saa ngapi .........(samahani kwa kwenda nje ya mada)
I think you should mind your own business kuanza kuulizana saa ngapi haisaidii kitu.
 
Well said Nyani ngabu!
 
I think you should mind your own business kuanza kuulizana saa ngapi haisaidii kitu.
Wewe huelewi kitu,ila niliyemuuliza anajua nini namaanisha na ndio maana alikuwa ananijibu.
 
Binafsi nilishangilia sana Membe alipokatwa na kupendekezwa Magufuli kwa sababu nilijua Membe angeendeleza 'status quo', lakini kadri mambo yanavyokwenda najilaumu sana kwanini nilidhani hivyo.
 
Umeuliza swali, umejibiwa.

Sasa habari za kuogopa zinatoka wapi tena?

Labda wewe ndo mwenye uoga na hivyo unaona wengine nao wana uoga kama ulonao wewe.
Chukulia poa,nilikuwa naangalia uwezo wako wa kukabiliana na hoja.(mwengine angeshanitukana)
 
Mkuu Ngabu uko sahihi kabisa hii ni Police state.....
na Sept.mosi inakuwa Army state kama sijakosea maana jamaa wamesema wanaadhimisha miaka hamsini sijui na ngapi huko ina maana UKUTA wakiahirisha na kusogeza mbele na wao sijui maadhimisho yao sijui watasogeza mbele,nawaza tu lakini!
 
Precedent ya usual manoeuvre ya polisi wetu is the Gestapo.
 

Hata amerika hivyo hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…