Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,866
- 141,446
Ha, ha, ha, nasikia CCM wanataka kuanzisha Mahakama ya Uchochezi.
Sawa mkuu umeeleweka, hapa hawakatizi coz dictionary zao walizitupa baada ya matokeo ya 4m4 kuja kinyume na matarajio.....Kusema hii ni Police state sidhani kama ni sawa kwa maana ninachokiona hapa ni kwamba wanatumika kama zana ya kukamilisha mipango ya watu, wao sio waandaji wa hiyo mipango....Hata hivyo, haina maana kwamba ni waungwana.
Hivi kwanza wewe umesharudi Bongo ........... ( najua unajua kwanini nimekuuliza hivo)What is a police state?
Per the Oxford Learner's Dictionary, a police state is a "country where people’s freedom, especially to travel and to express political opinions, is controlled by the government, with the help of the police."
Now, given what is currently going on since Magufuli's ascension to ascendancy, aren't we now a police state? If we aren't a police state, then what are we?
Everyday we wake up to [news] stories of members of opposition parties getting arrested, harassed, denied their right to peaceably assemble and all that jazz.
We wake up to stories of Joe Publics getting arrested and taken to court just because they posted some unflattering things about his Excellency on social media.
We wake up to stories of some news media outlets getting suspended and/ or fined under questionable pretexts.
We wake up to sights and sounds of members of the police force doing what they term as 'routine exercises' in full view of the public...hmm....really?
The right of free speech, freedom of expression, and to peaceably assemble are some of the most important civil liberties.
I know they are not absolute rights. They do have some restrictions. But come on now, Magufuli doesn't even want people to do politics. We should not let him infringe on us those rights. No way, no how.
He just wants people to work. What if politics is what some people do for a living? What the hell should they do? Construction or something?
Our rights are being trampled on and we all must say no. Say no to a police state.
We are Tanzania, not Kim Jong Un's North Korea.
Tatizo la Tanzania nadhani sio CCM, ni watanzania wenyewe, kama watanzania tutaamua wenyewe sidhani kama huu upuuzi wa kutufanya kama ng'ombe ungekuwepo, tunadanganywa mara kibao kisha tunaendelea kuogopa na kuamini uongo wao na kuchagua watu wale wale, huko mbele itakuwa ni marufuku kujadili siasa, siasa anaongea rais na CCM basi peke yake
Hivi kwanza wewe umesharudi Bongo ........... ( najua unajua kwanini nimekuuliza hivo)
Sio hata kupigwa virungu mkuu, huko mbali sana, ni kuhusu kwenye uchaguzi, haingii akilini wananchi wanamchagua kiongozi mmoja huyohuyo mwenye kashfa nzito za rushwa, hawajawaletea maendeleo yoyote ya maana jimboni, badala ya kujaribisha mwingine, kama hiyo haitoshi yule kiongozi akifariki mtoto wke ndio anaachiwa agombee jimbo na anachaguliwa kwa ushindi mkubwa...Ni kweli kabisa.
Kwa ujumla wetu Watanzania ndo tatizo.
Tu waoga mno wa kupigwa virungu.
Arab spring kuja kutokea huu ukanda wetu itakuwa ni muujiza.
Nimekuuliza hivo kwasababu ya huu msamiati mpya wa "uchochezi" wakitaka kuufanyia kazi kwako mwenzetu utakuwa salama,kwahiyo sisi itakula kwetu wewe uko utakua poa tu.Hapana, mimi sijui kwa nini umeniuliza hivyo.
Hivyo hujui kuwa hujui kama mimi najua kuwa unajua.
Nimekuuliza hivo kwasababu ya huu msamiati mpya wa "uchochezi" wakitaka kuufanyia kazi kwako mwenzetu utakuwa salama,kwahiyo sisi itakula kwetu wewe uko utakua poa tu.