A Page From My Diary Entiled 'Life Lessons'

Karucee

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2012
Posts
18,196
Reaction score
34,502
Ee bwana siku moja, mi na rafiki yangu wa kike tukaenda Dharma Lounge kule Zanzibar. Ni club ndogo sana, yaani sio zaidi ya sitting room. It is a decent place na ma bouncer huwa makini nani anaingia pale. This friend of mine is one of the few girls I have had as friends and we have shared the best memories. I am sure hatanisahau because I have been in trouble very many times for standing up for her. But its all good. To me she was my very own sister. Sasa bwana this friend of mine was a very good dancer. And when she was high she could never sit still. All she did was dirty dance the night away. I on the other hand just sat and drunk my ass off and watched her dance. Tatizo ni kwamba kina yakhe kule wana very negative perception ya wasichana wanao enda pub so mara nyingi tulikuwa tunazua balaa. Anyway, kwa usiku huu ninaoongelea my friend was dancing the night away. Nakumbuka nilikuwa napiga Famous Grousse double double. Na mimi nina rule moja, nikiona silewi naweka kinywaji pembeni because my instincts are warning me. Ngojeni nipumue kwanza. gobore, don't sleep just yet. ndetichia, usije pitwa tu. Best wangu watu8, Ruttashobolwa weka makabrasha pembeni tia whisky sogea, Snowball come zis way. Kongosho, Kaunga, King'asti na BADILI TABIA kujeni huku. Wewe BT jinsia yako inanipa utata. Napumua nakuja.
 
Ila sikukubali mara moja. Nikaagiza Sex on the Beach cocktails nikaanza kupiga. Ikawa haipandi nikakaa nazuga tu watching my friend. Basi tukakaa tunapata ma good time, mie natia story na mhudumu pale kwa sabau nilikuwa namfahamu. Muda ukaenda nika bored ki aina manake I was sober. Na nikiwa sober siwezi kuvuta kitu yangu. Huwa haipandagi. Raha ya ku blaze bwana niwe nimekunywa niko bwax, nikishavuta ile kudaadeki lazima kwanza niseme hiii haaaa inavyoingia penyewe. Mamamamae. Hahahahahaa. Sasa bwana nikatoka nje kupunga upepo. Nikawakuta wavutaji wenzangu wanapass mi nikawaambia leo nitapass bila puff wakasema haina noma. Story story nikarudi ndani. Nilikuwa nimeshaona dalili za best kulewa but niliporudi I was pissed off. Alikuwa anam dirty dansiya jamaa flani na huyo jamaa anamshika shika anavyotaka. Anaingiza mkono hadi kwenye jeans anagusa kipapuchi. Lo! Wtf??! Nikaomba time out aisee nikaenda nae pembeni kumuuliza woman are you out of your damn mind??! We are known in this damn island! We are decent girls!! Lets go home. Akaniambia am sorry nitaji control. Tukarudi ndani. Kusikia mziki tu akaanza kunengua tena. Mi nakachukua time yangu. Watu wakpungua club ikafungwa tukaamua kuendelea na private party mle.Baada ya muda akanimabia girl, there is a private party that am going to. Nikamwambia subutu. We are going home. Akagoma. Nilishasoma hapa kuna mtu ashapangiwa kugegedwa and she was not in her right senses. Sikutaka kugombana nae. Ikabidi nifatane kwa sababu no way in hell was I leaving her there. Tumeenda mitaa ya Stone Town kwenye ghorofa flani. Kuingia ndani private party ikaendelea. Private party yenyewe ni ya mijanaume miwili na sisi. Mie bwana mie kwenda sehemu nisizojua, na wanaume nisiowajua..... Na mwenzangu ameshalewa kwa kweli sikuwa na raha wala amani.
 
hebu malizia story,maana nishahisi eti mlichaniwa pichu loh!!!!!!!!!!kusutwa sunna
 
Snowhite bwana. Mie na weye? Wi-Fi, Hoshea, Kaizer toto tundu. Lol. Anyway nilisinzia kwa mawazo. Good Morning.
 
Mle bwana mi nlikuwa sina amani hata kidogo. Prima facie ilikuwa sio gesti.... Ila sio nyumba ya mtu mmoja kuishi. I am very sure kulikuwa na maovu mengi yanaendelea tena kwa zamu. Those guys were uneasy. Na mie kila mara nikawa najiuliza Dear God, what have we gotten ourselves into. Mwenzangu na mimi alikuwa cloud 9 nikawa najilaumu. Labda ningekuwa mkali tusingefika humu. Basi, nikawa natafuta namna ya kuongea na best na Mungu si Athumani akaanza kutapika. Nikaelekezwa washroom nikaenda kumsaidia by patting her back, wetting her face etc. Nikafunga mlango wa bathroom nikamwambia girl listen to me, no matter what you do leo you are not leaving my side. Akasema I rpomise. She was so weak. Mara mlango ukawa unabishwa kwa nguvu na kusukumwa. Nikasikia heels(mchuchumio) una retreat. My beloved friend mpaka hapo hana hata moja anayoijua. Nikasema leo ni leo. Nampa dogo uji fasta nakuja.
 
Basi, kwa hali ile, na mda ule kuondoka ikawa haiwezekaniki ikabidi tulale. Tukaonyeshwa sehemu ya kulala. Tukaingia nikafunga mlango. Best akajitupa kitandani mi nikawa na pace tu up and down. Mara simu yake ikaita akaanza kucheka. Akakaa chini akaniambia give me a minute kuna kitu nimesahau ndani ya gari. Nikamwambia poa. A few minutes later, akanipigia akaniambia sweetie am fine, don't worry about me. Nikafunga mlango na kusukuma kimeza nikakaa juu ya kitanda. Whatever sent me kunyanyua pillow sijui ni nini. Nilikuta syringe zenye sindano ambazo zilikuwa na vi damu. Niliona mpira flani mweusi na kiberiti na kijiko cha kula ambacho kilikuwa kimeungua. Palikuwa na lighter na hali ile ikanionyesha dhahiri mle palikuwa na wavuta unga. Kudaadeki nikasema this is it. Ile nafungua mlango nitoke nikamsake best mlango nao ukawa unasukumwa kwa nje, tumbo likanishika palepale. Who is it? Ikajibu sauti ya kiume I just wanna talk. Nikamuuliza where is my friend, akanijibu having the time of her life. Niaona huu sasa ni ujinga na hapa sitoki salama. Nikapiga simu kwa ma boys wangu nikawaambia am in a lot of shit. Wakawa hawaelewi, si unajua tena kuamshwa usingizini? Nikawaambia you have to get here ama tutaumia. Basi, nilompigia akamchukua na mwenzie wakaja Stone Town. Nilipompigia best simu ikapokelewa ila hamna sauti inayotoka. Mi mpaka hapo nikawa nimechoka, liwalo na liwe. Kuja kushangaa baada ya muda akaja kunigongea mlangoni nikamfungulia. She was now sober! Nikamwambia tusepe ma boys wako njiani wanakuj na huku tuliko sijui namna ya kuwaelekeza. Ile tunatoka bwana kuna mzungu mmoja akawa anaburuza gunia moja kubwaaa na kwa juu niliona mitutu kadhaa ya bunduki. Sikutaka kujua zaidi ya hapo, tukashuka ngazi fasta huku roho juu kama hatuamini vile. Tukapigiana simu na ma boys wakaja kutufata. Nikampigia simu bf wangu ambae alikuwa Dar na kumpa issue yote nikiwa very sad. Mimi na best tukakubaliana tusiulizane maswali as long as tupo ok. Ila best lazima nilimuuliza have you shot drugs akaniambia no. Basi tukayaacha na hata siku tulikutana na hao watu tena club ilikuwa polite hi na kuendelea na raha zetu. Next time I drank without getting high, I took a cab and went home. That was one lesson among many that life has taught me.
 

Are sure hujaidilute kidogo; coz the kind of mess you were in ni ngumu kuamini mliescape just like that. Or may be l watch too much movies! LOL
 
Daaaaaaahhhhh inatetemesha hata kwa kuwaza!!!!!!!!je kiuweli ilkuwaje?????????????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…