Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 15,882
- 20,734
- Thread starter
- #41
Thankyou for this.Hawa jamaa wanaotetea upuuzi huu wanajua kabisa kinachoendea,ila wanataka kutuharibia jamii yetu.Watoto wa Sekondari ni malaya sana,hakuna raping.Mtoto anatembea mwenyewe anakwenda guesthouse au kichakani halafu eti kawa raped!Upuuzi gani huu.Hivi hawa watu wanaotetea watoto wakipata mimba warudi shule hawaoni kwamba tukikubali warudi ndio itakuwa kiama.Magufuli akaze boot,no letting.Do you have the number of girls who got pregnant as a result of being raped? Siku hizi vitoto vinagawa nyuchi kama karanga alafu mnasema vimebakwa.
Last week nilikuwa Wilaya moja huko Dodoma nikapita hospitali moja nikakuta zoezi la kuwapima mimba waafunzi linaendelea. Nilichokisikia kwa wenyenji kinasikitisha. Wao binafsi wanasikitishwa a hali hiyo kwa watoto wakiuliwa nani kawapa mimba wanaficha wanasema jawajui.
God save us