A new member

 
Mie hio heleni nahisi ni watu wasiojulikana ,prove me wrong!
 
alikosea sana kukufundisha hilo neno, itakua Dada Wa watu kashindwa kuelewa kumbe Jf ndyo iko hivi
Hahaha mpaka leo huyo jamaa namuita indutu maana aliniambia alafu nikaongea kwa nguvu mbele ya watu nikashangaa watu wananiangalia kinoma huku jamaa anacheka hana mbavu
 
Mkuu unafikiri kila mtu anayejionesha kwako kuwa ni mshamba anakuwa mshamba kweli??...mwingine ili uingie kichwakichwa mazima lazima ajifanye mshamba kweli ujichanganye...Diwani athman kateuliwa juzi tu,usikute ndo kashaanza kazi hivi
πŸ˜‚πŸ˜‚ haya mambo yanawezekana! kwa pande zote mbili, anaweza kuwa ni mtu yupo kazini anatafuta watu wake au ni ugeni kweli. Ngoja tuone muda utaleta mrejesho maana humu mabaharia nao hawashindwi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…