Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,231
- 113,608
TF is wrong with CNN?
Huyu jamaa, Jeffrey Toobin, alibambwa kwenye zoom call akipiga punyeto.
Ilikuwa ni zoom call ya mwajiri wake wa wakati huo [Oktoba 2020], The New Yorker magazine.
Pia, alikuwa ni CNN’s chief legal analyst.
New Yorker walimfukuza kazi. CNN naona walimsimamisha kazi, nadhani.
CNN wameishiwa kiasi cha kumrudisha tena mtu anayepiga punyeto hadharani?!!! Tena anapiga punyeto wakati wa kazi!!!
Huyu jamaa ni Democrat. Angekuwa ni Republican au mtu mwenye leanings za Republican, asingerudi.
Double standards. Ni kama yule mtoto wa Biden ambaye imejulikana huwa analitumia the N word lakini hakuna uproar yoyote ile.
Imagine ndo ingekuwa ni mtoto wa Trump analitumia hilo neno….