A: Mpanzu vs B: Pacome

nan asiyejua uwezo wa pacome mchezaji pekee aliye ifunga al ahly mpaka inachukua ubingwa
Hiyo Alahly ilifungwa na kijana mdogo sana Luis Miquissone Pale kwa Mkapa miongoni mwa goli, ambalo lipo kwenye historia ya magoli Bora kabisa! Hilo la Pacome ulikuwa papatu papatu akabahatisha tu!!!
 
Hiyo Alahly ilifungwa na kijana mdogo sana Luis Miquissone Pale kwa Mkapa miongoni mwa goli, ambalo lipo kwenye historia ya magoli Bora kabisa! Hilo la Pacome ulikuwa papatu papatu akabahatisha tu!!!
al ahly alifungwa gori moja
 
Acha kumlinganisha Pacome na wachezaji machachari
 
Uzi umemalizikia hapa, Jamaa kamaliza kila kitu kwa uchambuzi kabisa.
 
Piga kura yako hapa tujue kati ya Mpanzu na pacome nani anajua mpira kuliko mwenzake.

A:Mpanzu
B: Pacome


NB: USHABIKI TUWEKE PEMBENI TUANGALIE UWEZO
Labda tumkate kwanza Pacome kichwa ili na yeye awe anakimbia kimbia tu hovyo iwanjani, ndiyo tuje kuwalinganisha sasa.
 
Kama mwandishi wa Uzi huu ni shabiki wa Yanga basi Mpanzu yuko juu ya Pacome na kama mwandishi ni shabiki wa Simba Pacome ni zaidi ya Mpanzu kwa nini?

Mara zote Apendae Chongo huita kengeza
na mwandishi kisirisiri ni shabiki wa hao wachezaji aliyowataja na haitokei kwa shqbiki wa Simbq akasifia mchezaji wa Yanga na kinyume chake pia Mpaka kuwalinganisha juwa kwamba muandishi ana mahaba mazito juu ya hao mabwana hivyo ingekuwa ni ndoa angetuuliza aolewe na nani kati ya hao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…