natafuta mwanaume ambae badae aje awe mume kama Mungu atatubariki. Awe na ajira, mwenye hofu na Mungu na upendo.
Mimi n 30+ cna mtoto wala cjawahi kuolewa kwa mengine zaid plz PM..kwa walio serious tu na km wewe huamini mapenz yanaweza patikana kokote bas naomba kiustaarabu ruka huu uzi si lazima kukoment negativity yako haihitajiki
Age is just numbers nina 30 kamili. NAweza kuja?
umri unanitupa bado miezi tu hapo kama ruhusa pm mm
Ni ugumu wa kuelewa au nini tatizo....umeambiwa kuanzia 34
Na wewe ni mgumu wa kuelewa,amesema 35.