let the caged bird sings JF-Expert Member Joined Sep 19, 2020 Posts 4,179 Reaction score 9,750 Sep 1, 2023 #1 Baada ya Miaka 53(1968- 2021) ya utumishi wa kiroho Nchini Kenya Father Adolf Omagaka Poll, almaarufu "Father Alleluia". Anapakia mizigo yake binafsi kwenye vibegi vidogo kwa ajili ya kurudi Nyumbani kwao Italy kwa ajili ya kustaafu.
Baada ya Miaka 53(1968- 2021) ya utumishi wa kiroho Nchini Kenya Father Adolf Omagaka Poll, almaarufu "Father Alleluia". Anapakia mizigo yake binafsi kwenye vibegi vidogo kwa ajili ya kurudi Nyumbani kwao Italy kwa ajili ya kustaafu.
M Mshughulishaji JF-Expert Member Joined Sep 29, 2015 Posts 1,353 Reaction score 1,885 Sep 1, 2023 #2 Anapeleka report naona wengi hata wa huku kwetu tayari wameenda huko baada ya kutoa matamko ya misimamo juu ya DP WORLD
Anapeleka report naona wengi hata wa huku kwetu tayari wameenda huko baada ya kutoa matamko ya misimamo juu ya DP WORLD