"A" Level Geography and History teacher available

adacadabra

Member
Joined
Jul 31, 2013
Posts
98
Reaction score
35
Hellow everybody, I am a prominent and experienced teacher with a bachelor of Geography (Udsm-2010) in JOB finding for either a temporary or permanent teaching vacancy, I am available to all Dar es salaam and the nearby regions schools.
CONTACT:255713596988 or my email :kaleb@gmail.com
 
prominent ......eti? tangia 2010 ulikuwa unafanya kazi wapi? kama ulikuwa na kazi twambie imekuwaje ukaacha kazi bila kuwa na sehemu mbadala ya kwenda? unasema una degree ya geography from udsm.....? na ualimu ambao huko prominent umesomea wapi? kanjanja ...!
 
Ok rolla mbona mapovu bro, kwann uandikie mate wakati chaki ipo, ndo mana kuna interviews ....during that interview I will tell what I was doing since 2010.ama la ni pm nikupe details unazozitaka.
 
pole sana ndugu yangu. hayo maswali ndo ilikuwa interview yenyewe, lakini kwa majibu yako that is the end of it. yawezekana ungetufaa lakini kwa majibu yako utawafundisha matusi watoto wetu. taasisi yetu inaamini hivi. "
..... somebody who does not accept genuine challenges is not confident and not competent at what he/she is doing." Neno 'kanjanja' liliwekwa makusudi in order to test your level of humility, sanity and civility when you are provoked . Next time swallow you pride and cool your wild temper.
 
Acha kuzarau watu wewe mi sio kanjanja and something like that, kama hiyo institute yako inaajiri watu kwa kuwatukana then inabidi mjichunguze upya!! Mi sio kanjanja, remember bro rolla the world is not an island "ukiniita wewe kanjanja na kuninyima kazi, life goes on,better life is ahead of me because I dont believe in impossiblllity rather than possibillity ideas ".
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…