A letter to my future lover

Shida yote ya nini Akati Kuna Wazuri Zaidi yako! Masharti yao ni Sh 500/= Nyie ndio huwa mnaishia kuolewa na Vibabu Vya Miaka 60!

Degree inakusaidia nini katika Mapenzi?
Siyo makosa yangu, wewe kuwa na fikra finyu.
.
.
Kwanza kabisa, naomba nikukumbushe siko kwenye mashindano ya uzuri.
.
.
Pili, napenda kutoa pole kwako kwa namna vigezo vyangu kwa namna moja au nyingine vimekufanya ujione huna thamani ya kuwa na mimi.
.
Amini nakwambia, kuna wasichana wengi tu watakuwa wanakuona kama lulu.
.
Jiamini, kaza moyo konde, kuwa mtu mwenye fikra chanya zaidi.
Mungu akubariki sana.
 
Very well explained. You are a beauty with brain.

I wish you all the best in your search for the lucky one.

Last one, you mentioned that you are sexually active and you are not in any relationship, don't you see that as a red flag for someone who is really serious about starting a relationship with you ?

 
Depends, I'm not an angel. I don't want to lie to anyone that I'm just a single girl.
.
.
Alot of people lie about their sexual statuses and eventually you come to realise you were just an option.
.
.
Being with someone is a sacrifice, and when I say I'm sexually active it basically means I'm ready to let it go when the right man comes.

That's why a drunkard will never tell you that he/she is alcoholic until you are deep in a relationship. Because he knows he can NOT let go.
 
Thank you for the wishes
 
Pole sana.
.
.
Naomba nikwambie sisi ni watu wawili tofauti. You are very special, and so is everyone else. And that makes us different and amazing.
.
.
You are the only one who makes decisions for 'you'. You set your standards.
Na ndio maana darasani kuna atakayepata 90 na atakayepata 20. Toka tuko wadogo tulianza kufanya maamuzi na kujiwekea vigezo kidogokidogo.
.
.
Mwisho wa siku kuna wale wanaokuja kufanikiwa sana, wengine kiasi, wengine wanafeli.
.
.
Na mafanikio yanaweza yakawa ni kwenye mahusiano, pesa, Mali, afya, watoto, kusaidia wengine, maisha ya kiroho, good habits, hobbies na kadhalika.
.
.
Unafikiri yule mtu aliyekuwa na ndoto kubwa Ila akaja kufeli alimwambiaje mwenzake mwenye ndoto kama zake??
Alimwambia maneno kama uliyoniambia mimi.

I will tell you this, It's not too late to set your standards again,( without compromising) and go after what you want, godspeed.


Nlikuwa kama wewe tu unachowaza sa hivi na sasa nmeshtuka kwamba mtu wa aina niliyemfikiria akilini hayupo sababu hata dada yangu tu wakuzaliwa nae hafanani kitabia na mimi


Toka katika ujinga huo kabla ujachelewa
 
I got it. But my advice, some things are better left unsaid.
 
Hii ni aina gani ya baruaa?
 
Mmmh chukua tu udongo uumbe wako mama...

"There is no PERFECT in this world""
 

Endelea kufikiria Unayo Yafikiria Malizia Degree Yako kwanza Uje mtaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…