A letter to my future lover

Nunua dildo uchezee kwa hizo sifa bado una safari ndefu sanaa
 
Lady , do you even deserve such specifications?
And who told you love needs application latter
 
Naona wanaume ambao hamna qualifications mnateseka sana. Wenye qualifications zao wametuma PM zinazoeleweka.
.
Jamani, hata ukienda kununua bidhaa mahali utaanza kuiponda range rover kwasababu uwezo wako ni IST. Au utaiponda iPhone X. Mara oh, barabara ni ileile, range rover ya nini.
Kama uwezo wako ni IST usione wanaopanga plans kununua range rover ni matahira na kuwa hawataweza.
.
We tulia ndani ya uwezo wako kaa kimya, mbona wanaume wazima mnakesha kunisuta mwanamke kisa hamna qualities nazozitaka? Mnaumia nini? ?
.
Narudia tena, yani hapa mnabishana na Simba jike. I'm not your average kinda woman. I'm a different breed.
.
Na huwezi kuta mwanaume mwenye IQ zake na ndevu anabishana na mwanamke usiku. Nasema hivi, poleni sana.
 
Nunua dildo uchezee kwa hizo sifa bado una safari ndefu sanaa
Pole sana mwanaume. Ndo hasara ya kuuchezea maisha yako, hukusoma kwa bidii, kichwani you have nothing, muonekano huna, you have nothing but bitterness. Kinachouma zaidi hata wasichana wazuri huwapati. Unaumiaje ukiona wanaume wenye qualities zao ndio wanaopendwa na wanawake
.
 
Ever heard of this quote? Aim for the stars, if you fail, you'll land on the moon.
 
Mkuu, mbona wanaume wengi humu huwa wanaorodhesha sifa kibao za wanawake wanaowataka utafikiri wanatafuta malaika lakini watu hawasemi.
Kwasababu wanawake tunaonekana kama bidhaa. Wanasahau hii ni Karne ya 21, women also bring food to the table and in that case they have the right to choose the right life partner.
The tables have been turned and some men feel intimidated, they are scared. Real men are unbothered.
 
Unajua hawa wasichana wanaosoma chuo wanafikiri maisha ni vile unavyoota...kumbe ni tofaut na uhalisia kabisa..unakuta anaolewa na muuza mkaa
Mara millioni niolewe na muuza mkaa kuliko mwanaume anayedharau kazi halali ya mwanaume mwenzake. Huo sio utu wala ubaharia. Itafakari sana kesho yako Numan.
 
I'm sending you love and light
 
Again, God heal you from your psychological struggles IJN, Amen.
 
Hahahaha!! Lakini mkuu si ni vigezo anavyovihitaji au kuna ubaya.
 
Hahahaha!! Lakini mkuu si ni vigezo anavyovihitaji au kuna ubaya.
He is mentally disturbed. Nmekuja kugundua baada yakukuta kaniandikia magazeti kama yote. Hiyo reaction sio ya kawaida, msaidieni mwanaume mwenzenu.
 
He is mentally disturbed. Nmekuja kugundua baada yakukuta kaniandikia magazeti kama yote. Hiyo reaction sio ya kawaida, msaidieni mwanaume mwenzenu.
Hahah!!! I doubt he is unhinged. He is probably one of those grouchy, macho men ( a little too macho perhaps) who would rather be dead in a ditch than concede that, in a modern world women are just as much entitled to have their preferences when choosing a partner as men have always been . They are just not sold on the notion of equality.
 
I have been receiving alot of notifications from this thread and it makes me wonder that some people really think this is a woman searching for a life's partner and not someone who is purposefully fooling people for funny I believe the person behind this thread has more than one ID and now he is digging for some information from other members, be careful you have been warned.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…