MR RIGHT2014
Senior Member
- Jun 21, 2014
- 104
- 2
Mchumba punguza umri kidogo unichukue, sifa zako mi hoi....
hivi mtu na akili zake akutumie picha kijingajinga hivi? mbona wewe hujaweka picha yako.
Sifa zake zinasisimua...Umeona eeh kajinadi kwel kwel
Sifa zake zinasisimua...
Sifa zake zinasisimua...
Hv umeona pale I AM VERY VERY GOOD LOOKING MAN ha ha ha! Tena kwa msisitizo
Angetuma na ka picha ingekuwa poa sana hapo tungepata ka conclusion kakueleweka ingawa wengine kwenye hyo age hatumo.
Age is just a word, ngoja nikomae komae naweza jinyakulia
Ha ha ha
if you need my photos i can send to you,give me your whatsup number so that you will see yourselfAngeanika zake kwanza!
Hahahaaaaa.....Tangazo lako linavutia... Ila hiyo anwani ya barua pepe yako nimehisi kama ndio mwaka uliozaliwa..!!
Ni mawazo yangu tuu..!!
Where in Tanzania/The world do you live?I am very good looking man,i am 6ft tall,average body bulder,free from diseases,kind,loyal,charming and educated,i am not rich or loaded with cash,but i am a hard worker and i dont believe in poverty so that my future has good hope,..i need a beautiful lady age 28 to 33,tall,fat..well figured,any colour,working or self employed,h.i.v negative,non drinker and non smoker,respectful and kind like me,lecturers,doctors,teachers and entrepreneurers will be given priority if they meet what i have written send your photos to mintegrity91@gmail.com