A Job Vacancy - Send CV Only inatakiwa ikaaje?

Dimlyt

Senior Member
Aug 1, 2019
105
162
Wakuu habari zenu?

Katika kufanya application mbalimbali za kazi tumezoea kuandika cover letter then tunaambatanisha na CV.

Sasa kuna baadhi ya posts zingine zinakutaka utume CV/Resume only.

Swali langu ni: Je? hii CV inatakiwa iweje ili kuendana na kazi unayotaka kuapply?

Nakaribisha mawazo yenu wakuu!
 
Mambo ya cover letter yatopotea tu Baada ya mifumo kuwa digitally zaidi imagine una appy kwa email hapo una paswa kuandika tu Subject ambayo ndio Job title ya unayoomba mambo ya kucopy na kupaste cover letter zenye mambo mengi hayana nafasi kwa Smart recruiters Wacha CV na Interview ioneshe capability yako pia saivi kuna portal ambazo una fill up everything so post ikitokea unoamba tu bila cover letter
 
Nmekuelewa ndugu, Ahsante kwa maelezo mazuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom