A Jewish Boycott

Je, hapa comparison inafanywa kati ya Dini na dini ama taifa na taifa, au ni nini hasa?
kwa uelewa wangu dini haigundui bali mtu/raia/mwenye asili ya taifa fulani ndo anagundua bila kujali dini yake.
naomba mtoa mada atuweke wazi hapo!
 
Wewe unatakakubisha tu kwa sababu ni mwislamu wenzangu, Mimi sipendi mabishano ya kijinga eti kwa sababu ni mwislamu. This people (Jews) are talented wanafanya vitu extraordinary, ulimwengu unajua. mtoa mada ametoa facts. Si kwamba hakuna waislamu waliofanya vitu pia, lakini you cannot compare hata kidogo na jews. Am a medical doctor(gynecologist)nilienda Israel kwa course fupi nikuhakikishie tu kuwa katika fani hii hawa jamaa ni noma!!! nilienda indonesia, malaysia pia katika course fupi! Kuna tofauti kubwa sana. wenzetu(jews) wako advanced saana!

JAMANI TUKUBALI TU KUWA KUNA WATU MUNGU AMEWAPA TU KIPAJI FURANI, KAMA WEWE NA MIMI HATUNA BASI TUKAE TU KIMYA NA TUMSHUKURU MOLA KWA HAO WATU.
NI KUPE MFANO WA GIFTED PEOPLE. UNAJUA KUWA WAKENYA WANA KIPAJI CHA KUKIMBIA, KULIKO SISI WATANZANIA? NA VILE VILE WATANZANIA TUNA VIPAJI FURANI AMBAO WATU AMA MATAIFA MENGINE HAYANA!! THAT IS HOW GOD WANTS THINGS TO BE.

Kwa taarifa yako wanas

Kwa kweli thinking method yako ni ya ajabu sana, kama daktari. Wakenya wana 'kipaji' cha kukimbia zaidi ya Watanzania...? Ulikuwa hujazaliwa wakati akina Filbert Bayi na Suleman Nyambui wakitikisa dunia? Mi nakwambia hii ni result ya 'kujiandaa vizuri, kusoma kwa hima na kupatiwa tools' Si kwa sababu ya Ukenya, Uyahudi, Uzungu n.k. Sijui ilikuwaje ukawa daktari maana hilo huna kipaji nalo. Na please, usimshirikishe Mungu katika hili.
Soma historia ya Wayahudi na jinsi gani wameona mapema umuhimu wa elimu, wakati walipokuwa wakibaguliwa katika magetto ya Ulaya. Mpaka leo hakuna taifa lolote lenye mfumo wa elimu kwa watu wake kama Wayahudi. Ni kwa sabau hii ndio wakawa wengi ni malawyer, wavumbuzi n.k. Pia wana mshikamano katika kuji advertise kwa vile wanashikilia vyombo vyote vya habari duniani. Nitakupa mfano: kuna interesting inventions zinazofanywa Iran hivi sasa lakini husikii kitu chochote, unless unafuatia katika non-mainstream sources. Sidhani kama Israel imekwisha 'clone' kiumbe wakati Iran kuna mbuzi, ng'ombe, mimea, miti chungu nzima waliokwishai 'clone' na husikii chochote.
La muhimu kwangu ni wewe uondokane na kasumba ya kijinga kwamba race moja ni intelligent, talented kuliko nyingine simply kwa sababu ya race na si kwa sababu ya maandalio. Ukiendelea na uzi huo siku moja utakujasema watu weusi ni dumb kwa sababu ya race yao (pengine unaamini hivyo tayari). Hii sisemi kwa sababu ya kujihami na hilo, kuna utafiti mrefu umefanywa juu ya hili na hakukupatikana any scientifc evidence iliyoonesha race ni factor. Sasa kama wewe ni daktari, tahadhari usije ukasema hayo mbele ya madokta wenzako watakucheka!
 
please just be honest, suppose tukirudi miaka 200 nyuma halafu wajapan wangekuwa kwenye ardhi hii ya Tanzania na watanzania tungekuwa kwenye ardhi ya Japan, kwa mtazamo wako kwa wakati tulio nao sasa tungepima maendeleo ni nchi ipi ingekuwa advanced na kwa nini?
Why go so far? Kenya, Egypt, Mauritius....are 20 years+ advanced than Tanzania. Is it because of their Ukenya, Umisri etc? In a couple of years Rwanda will be as well. Again, would you say they are 'more intelligent'?
 
Tatizo ni kwamba aliyeanzisha mada naye kaweka reference yake na wewe umeweka reference yako, so judging which information is authentic is subjective!! neither you nor him can prove without the references you depend on! the stuffs you rely on may be were written by people according to their motives, perception or if possible according to credible evidence! so when i see you people disputing over which is right or which is wrong it's a waste of time and energy because no one between you can come with a soothing evidence except yelling about the source each one trusts!! but if i were to give you advice i would ask you to watch the present situations and your intuition will tell you which is true as the truth always manifests and it has actually manifested for this case!!
YOU CAN'T BE THE THE INVENTOR OF A CERTAIN TECHNOLOGY AND AT THE SAME TIME LAG BEHIND IT, sounds paradoxical!! in my view- who is more advanced to the technology owns the technology!!

Let's be civil about this; I beg to differ. All references given are extracts of real occurances, history and persons. You cannot say someone is disputing that Algebra, gas laser etc were invented by two Muslims. Please understand; I am not after defending A RELIGION on this purely knowledge-based issue. My core belief is that knowledge has no religion, race, colour or geography. Infact, I believe the human advancement in all spheres is a result of shared experience among various races and nationalities. For, even Enstein must have had 'a reference' to start with and that reference might well have come from an Eskimo!
Unless we are debating two different ideas, I cannot see why this is so difficult to comprehend- that Jews are NOT naturally gifted anymore than any other race/religion. Their excellence is a result of other factors that are accessible to all provided one renders required commitments, dedication and sacrifices. This to me IS ubiquitous.
 
ikiwa Mungu wa kweli ni Yesu , basi kwa wayahudi huyu sie , hata hana maana yoyote kwao....(wanamwita mtoto wa goli la nje)
Je Mungu wa kweli wa waayahudi ni yupi ?
 
Blessed is everybody who contributes to this theme. I thank every one of you because a large proportion of the contributers have logic to link with. Matusi sio hobby yangu, lakini kila anayechangia kwa matuzi bila shaka anajidhalilisha mwenyewe. SIJALI should come up with costructive ideas rather than utering abuses to JF members. Hata kama ukiwa na akili kuliko aliyekuumba, unageuka juha pale unapochangia kitu kinachohitaji umahiri kwa kuingiza jazba. Ukiwa na jazba huwezi kueleweka katika communications zako. Ukiwa na hasira pia ni vivyo hivyo. Muungwana mmoja kampa somo zuri SIJALI kwamba kinachotakiwa kuongelewa hapa ni utaifa wa waliofanya vitu vya kweli na wala sio dini. Nisingetegemea kwa aina ya SIJALI kukubaliana na baraka alizopewa Myahudi kwa sababu waislam wanafundishwa kuuchukia uyahudi hata kuua myahudi wenyewe ruksa. SIJALI kwa kughubikwa na ushabiki wa kidini ameshindwa hata kutambua kwamba mada imeelezwa kwamba mleta hoja hajaandika yeye ila ameitoa wapi, rejea zake zimemlenga mpitisha habari badala ya kujadili issue iliyopo. Ni aina ya watu ambao hawako makini kupewa dhamana akaitendea haki pasipo jicho la kibaguzi. Ubaguzi wa kidini ndio unaowafanya waislam wachome makanisa na kuzichukia dini zingine kwa sababu kwa kufanya hivyo wanadhani watabarikiwa. Nkapa alipenda kusema kuna watu wenye wivu wa kijinga na wenye ufinyu wa kufikiri na kwamba watu hao kuendelea ni sumu. Sasa naanza kumuelewa Nkapa.

Israel will remain a Blessed nation whether you like it or not. Mungu wa Israel sio kigeugeu, tena akitaka kukubariki atakubariki tu, mwenye wivu na ajinyonge. Penye ukweli ni lazima tukubali kama tunaukataa ufinyu wa kufikiri. Tujaribu kama wachangiaji wengine kufanya kazi kwa kumaanisha, kutulia na kutafakari vitu tunavyovifanya, tumwambie Mungu wa Israel aturuhusu nasi tubarikiwe kwa sababu kubariki nio lazima akubariki. Hujui kuna wayahudi wengi sana tu walikuwa na hata sasa wamekuwa chukizo kwa Mungu? Wapo mataifa wengine wanabarikiwa na Mungu huyohuyo kwa sababu Mungu alipoona wayahudi wapo wanaomwudhi sana akasema sasa napeleka baraka hizi ambazo zingekuwa zenu, nawapelekea wamataifa. Ndiyo raha tuipatayo sasa, mdengereko anaweza kuzungumza na Mungu na Mungu akatekeleza ombi lake kulikoni akizungumza myahudi kwa Mungu. Mungu anaangalia moyo wala haangalii kabila la ntu.

Pamoja na matusi uliyotukana SIJALI, Mungu akubariki mpaka ushangae, akuwezeshe uijue kweli, nayo kweli itakuweka huru kwelikweli. Uislam sio tiketi ya kumwona Mungu, bali roho iliyopondeka na yenye kuitafuta kweli ya Mungu na kutii ndiyo itakayopona, lakini kupingana na kipenzi cha Mungu ni kupigana na upepo ukadhani utashinda. Nakubali wayahudi wapo pia Iran maana wametapakaa kila mahali, lakini mbona Iran inapigana na kila kinachofanywa na Israel? What a contradiction!
 
Zaleo unanichekesha unaposema wewe ni muadilifu na huna jazba au upendeleo wa Kidini. Lakini hayo tuyaache. Kwangu mie dini ni utashi wa mtu binafsi. Hata ukiabudu nyoka hiyo ni shauri yako. Isipokuwa inapokuja kuandika katika sehemu za public, zinazosomwa na kila mtu, hupendelea kunyoosha kile ninachokiona kimepinda, ili watu wasije wakapotoka na kupotezwa.
Haidhuru sikutaka kujadili Udini, lakini naona umenisukuma huko.
Yaelekea una beef za wazi na Waislamu. Sikulaumu, katika Tanzania ya leo (na dunia kwa jumla) Mwislamu amekuwa ndiye saababu ya kila ovu! Bado sijasikia tu kwamba ni Waislamu ndiyo wanaosababisha kuyeyuka kwa theluji ya Kilimanjaro, lakini maovu yote mengine husingiziwa wao. Unajua ni kwa nini? Nakuachia wewe ujibu.

Sasa wee ni katika wale wanaoamini kuna miungu wengi...( Audhubillahi) eeeh, maana wazungumzia mungu wa Waisraeli, ambaye unaona si kigeugeu kama mungu wako. You see, haya ndiyo mambo ambayo siwezi kujizuia kuyaita ya kijinga (kunradhi). Unless unanifafanulia nini maana ya Mungu. Kwa nini mungu unayemwamini awe mbaguzi hivyo? Kwa nini apende taifa moja tu au kama nii dini...kwa nini wewe usiwe Myahudi basi?
Ni dhahiri kuwa wewe na mimi tumekuja hapa duniani si kwa kutaka kwetu, wala hatukuwa na haki ya kupiga kura ya turufu (veto) katika kuja kwetu, sasa kwa nini aliyetuleta hapa atuhukumie hata kabla hatujafika kwamba nyie hamtakuwa vipenzi wangu?
Hebu nisimame hapa ningojee jibu lako juu ya madai yako outrageous 'tumwambie mungu wa Israeli aturuhusu nasi tubarikiwe'

Hatimaye, unaasema kwamba thread uliyoianzisha hukuiandika wewe umeikopi tu. Hilo nalijua. Kwa kawaida katika forum hizi ukikopi issue ni kana kwamba umekubaliana nayo unless unaelezea wazi wazi kuwa umeileta ili kuonesha upotofu wake- hukufanya hivyo. Kwa hiyo inaachukuliwa moja kwa moja kuwa hiyyo ndiyo imani yako. Na hapa imeonesha wazi kuwa wewe unakubaliana na hiyo dhana kuwa Wayahudi ni more intelligent, talented, blessed.....kuliko watu wengine.
 
Why go so far? Kenya, Egypt, Mauritius....are 20 years+ advanced than Tanzania. Is it because of their Ukenya, Umisri etc? In a couple of years Rwanda will be as well. Again, would you say they are 'more intelligent'?

Tafadhali rudia kusoma post yangu halafu ujibu kwa ufasaha, you seem to beat around the bush!! have you ever asked yourself why did the european/arabian countries colonized the african countries and not otherwise? where did this power come from and why the africans had no such power? why are the whites since then have the power to rule this world? do you expect africans will rule the world in future?
 
Zaleo unanichekesha unaposema wewe ni muadilifu na huna jazba au upendeleo wa Kidini. Lakini hayo tuyaache. Kwangu mie dini ni utashi wa mtu binafsi. Hata ukiabudu nyoka hiyo ni shauri yako. Isipokuwa inapokuja kuandika katika sehemu za public, zinazosomwa na kila mtu, hupendelea kunyoosha kile ninachokiona kimepinda, ili watu wasije wakapotoka na kupotezwa.
Haidhuru sikutaka kujadili Udini, lakini naona umenisukuma huko.
Yaelekea una beef za wazi na Waislamu. Sikulaumu, katika Tanzania ya leo (na dunia kwa jumla) Mwislamu amekuwa ndiye saababu ya kila ovu! Bado sijasikia tu kwamba ni Waislamu ndiyo wanaosababisha kuyeyuka kwa theluji ya Kilimanjaro, lakini maovu yote mengine husingiziwa wao. Unajua ni kwa nini? Nakuachia wewe ujibu.

Sasa wee ni katika wale wanaoamini kuna miungu wengi...( Audhubillahi) eeeh, maana wazungumzia mungu wa Waisraeli, ambaye unaona si kigeugeu kama mungu wako. You see, haya ndiyo mambo ambayo siwezi kujizuia kuyaita ya kijinga (kunradhi). Unless unanifafanulia nini maana ya Mungu. Kwa nini mungu unayemwamini awe mbaguzi hivyo? Kwa nini apende taifa moja tu au kama nii dini...kwa nini wewe usiwe Myahudi basi?
Ni dhahiri kuwa wewe na mimi tumekuja hapa duniani si kwa kutaka kwetu, wala hatukuwa na haki ya kupiga kura ya turufu (veto) katika kuja kwetu, sasa kwa nini aliyetuleta hapa atuhukumie hata kabla hatujafika kwamba nyie hamtakuwa vipenzi wangu?
Hebu nisimame hapa ningojee jibu lako juu ya madai yako outrageous 'tumwambie mungu wa Israeli aturuhusu nasi tubarikiwe'

Hatimaye, unaasema kwamba thread uliyoianzisha hukuiandika wewe umeikopi tu. Hilo nalijua. Kwa kawaida katika forum hizi ukikopi issue ni kana kwamba umekubaliana nayo unless unaelezea wazi wazi kuwa umeileta ili kuonesha upotofu wake- hukufanya hivyo. Kwa hiyo inaachukuliwa moja kwa moja kuwa hiyyo ndiyo imani yako. Na hapa imeonesha wazi kuwa wewe unakubaliana na hiyo dhana kuwa Wayahudi ni more intelligent, talented, blessed.....kuliko watu wengine.

Ndugu yangu suala la taifa la israeli kuwa limebarikiwa na Mungu ni suala ambalo liko biblical, kwa Mkristo ni jambo analoamini ila labda kwa muislam kama wewe itakuwa ngumu kupata concept ila ukisoma biblia vizuri kwa nia ya kujifunza na kuelewa halafu ukahusisha na mwenendo wa ulimwengu toka zamani naamini utafaidika na mawili matatu.
Inavyokuwia vigumu kuelewa kwanini Mungu huyo huyo abariki taifa la israel na sio taifa lingine ni hivyo hivyo inavyoniwia mimi vigumu kuelewa kwanini Mungu huyo huyo(kwenye Qur,an) aseme ni haram kula nyama ya nguruwe lakini ni Mungu huyo huyo (kwenye Qur,an) anasema ukiwa kwenye hali ya dhiki na hakuna chakula kingine chochote ni halali kula nyama ya nguruwe!! kwangu mimi nafananisha na kumruhusu mtu kuiba pesa au mali ya mtu mwingine iwapo atakuwa yuko katika dhiki na amekosa msaada wowote kupata mahitaji yake!!
 
haha kuna usemi wayahudi hupenda kuwatania waarabu kuwa "ARABS DO NOT UNDERSTAND TECHNICAL LANGUAGE" ni wazuri ktk kupanda punda na ngamia tu thats why hukuti engineer wa kiarabu wapo ila wachache sana!,siku moja nilipokuwa ughaibuni ktk pita pita zangu nikakuta mtu anauza UBONGO wa watu wa mataifa mbalimbali ubongo wa myahudi bei yake ulikuwa $10 wakati ule wa mwarabu ulikuwa 100$ nilipo uliza kwanii wakaniambia huu wa mwarabu bado mpya haujatumika kuliko huu wa kiyahudi!
 
hapo kwenye red umeniacha hoi sana!!
 
kweli unakuwa na wakati wa kufikiri au unazuka tu? Mimi hutumia redio, televisheni, gari, ipad, nguo....hebu niambie ni kipi kati ya hivi vimegunduliwa na myahudi?
Halafu unauelezaje uyahudi: Ni dini au ni race? Maana kama ni dini maana yake nikiingia dini ya kiyahudi na mimi nitakuwa 'itelligent' kama wao? Na kama ni race, wayahudi wengi kwa kweli ni aidha wa ulaya ya magharibi au ya mashariki. Huko ndiko walikoishi kwa mamia ya miaka.... Sasa ni kitu gani hiki kinachomfanya awe tofauti na wa-ulaya wengine? This is stupid brain wash. Kitu pekee ninachokubali ni kuwa wayahudi hutilia mkazo masomo na wana taasisi zao pekee wanazowakuza watoto wao kwa training tangu udogo. Pia wana vyama vya kuwasaidia watu wa jinsi yao kusoma kwa kuwalipia fees na kadhalika. Kwa hiyo, la maana hapa sio uyahudi, bali ni kujiandaa vizuri kimasomo. Kwa maana hiyo, hata msukuma, kama ngekuwa na mipango kama hiyo ya masomo pia angekuwa na uwezo huo huo. Kumbe huu upuuzi wa apartheid uko hata kwa wabantu?
hiyo mitaala ya masomo imeandaliwa na nani?
 
hapo kwenye red umeniacha hoi sana!![/QUOT

Ni upungufu wa akili tu wabaguzi wakubwa nyie
Wamefaulu through proxy kuwafanya muamini:

1. Science ni yao hali wameiba mambo yote kwa waislam
Algebra, Chemia (chemistry) , physia ( physics) ni ya waislam
Hata hizi number 1 hadi 9 na 0 ni xa waislam.
2. Wameiba science nyinyi kwenye Quran wao wamavumbua vitu
Karne nyingi baada ya kiteremshwa.
3. Wamefaulu kuwaosha akili kuwa wao ni taifa teule na
Nyinyi ni watu duni bado mnashangilia itikadi hizo. Au?
Kha!!
Upotovu wa kujidhalilisha! Yaani akili ni mali! Tazama tV leo siku ya Arafa utaona waislam wote wamevaa nguo aina moja haujui taifa, rangi tajiri au maskini,
4. Lazima tukubali kuwa wamefaulu kudramatize case yao kuliko wote duniani.
Vita kuu ya pili Warusi million 20 walipoteza maisha yao lakini husikii chochote
Nk! Pia wameweza kucontrol mataifa makubwa superpowers zinapokea orders mirija ya unyonyaji uchumi ndiyo nguvu yao!
 
Zaleo, It is really annoying when someone makes an absurd claim impulsively without doing even a bit of a research. To me, that's not a mark of intelligence, on the contrary, it is an indication of lazy grey substances or a serious malfunction in one's medulla. To denigrate Muslims contribution to science, geometry,physics,mathematics, medicine etc. shows lack of education. Just go and read this: Muslim Scientists and Islamic Civilization

But first, I think you are deliberately lying when you say the Iranian leader, Khamenei, said Jews should be boycotted. How could he say that while there are more Jews in Iran than they are in USA?
Your lack of understanding has lead you to think that Israel equals Jews. If anything, Khamenai is against Israeli politics and not Jews. Why, there are Jews- a lot of them- who are against the establishment of the state of Israel:True Torah Jews Against Zionism

Back to the topic of knowledge. I urge you to study the spread of knowledge in Europe between 12 and 13th century. You will see most of what you think is European invention was actually invented by Muslims and were brought to Europe via Spain, which for more than 400 years was ruled by Muslims. My intention here is NOT to deny Jewish invention and creativity. Infact, knowledge has no race or religion. All races and religions have equally contributed to knowledge. Sometimes you do not realise who invented what because of politics of the time. Do you know that things like fiber optics, refrigerator, light bulb, traffic light,gas mask, fire extinguisher and many more were invented by black men? Some were not recorded or accorded because their slave masters claimed the honour?
So, stop making one race as if it has the monopoly of knowledge. As for Muslims in modern times, try to find out who invented gas laser, electric chair, air gliders? Go and read a recent article by the British newspaper, The Independent, entitled 'How Islamic Inventors changed the World' How Islamic inventors changed the world - Science - News - The Independent
After that, either shut up or, if you chose to continue with your ignorance, please keep it to yourself and do not infect others. You sound so stupid and out of sync with current developments in the world with your daft claims while, as I am writing, Iran is one of the leading countries in the world in nano technology, Stem cells (2nd in the world after USA in stem cell transplantation) and Biotechnology. Your bigotry will take you nowhere.....open your eyes!

It does'nt get better than this... Kuddos brother!!!
 
Ndugu yangu suala la taifa la israeli kuwa limebarikiwa na Mungu ni suala ambalo liko biblical, kwa Mkristo ni jambo analoamini ila labda kwa muislam kama wewe itakuwa ngumu kupata concept ila ukisoma biblia vizuri kwa nia ya kujifunza na kuelewa halafu ukahusisha na mwenendo wa ulimwengu toka zamani naamini utafaidika na mawili matatu.
Inavyokuwia vigumu kuelewa kwanini Mungu huyo huyo abariki taifa la israel na sio taifa lingine ni hivyo hivyo inavyoniwia mimi vigumu kuelewa kwanini Mungu huyo huyo(kwenye Qur,an) aseme ni haram kula nyama ya nguruwe lakini ni Mungu huyo huyo (kwenye Qur,an) anasema ukiwa kwenye hali ya dhiki na hakuna chakula kingine chochote ni halali kula nyama ya nguruwe!! kwangu mimi nafananisha na kumruhusu mtu kuiba pesa au mali ya mtu mwingine iwapo atakuwa yuko katika dhiki na amekosa msaada wowote kupata mahitaji yake!!

Akh, mambo mawili tofauti kabisa. Hivi kuna watu wako tayari kupotosha hata jambo lililo wazi, ilimradi tu watetee itikadi, myths, na vigano vyao vya kale?
Kuruhusu Qur'an kula nguruwe wakati mtu anakabiliwa na njaa ya kuhatarisha maisha yake na hakuna chakula chochote mbele yake, hilo ni jambo la mantiki kabisa. Kwa kweli linatokana na kuheshimu na kuthamini maisha ya binadamu. Na si nguruwe tu, unaruhusiwa kufungua saumu ukiwa hatarini, au hata kuukana Uislamu ukiwa maisha yako yako hatarini. Kitu gani ni kinyume cha akili na mantiki hapa? Kwangu ingekuwa vinginevyo ndiyo ingekuwa kinyume cha mantiki.
Kwa hiyo nyie Wakristo unaambiwa mtu akikupiga umpe shavu jingine apige- huoni hayo ni kinyume cha mantiki? Umewahi kufanya hivyo hata siku moja? Au unamjua liyewahi kufanya?
 
Zaleo, It is really annoying when someone makes an absurd claim impulsively without doing even a bit of a research. To me, that's not a mark of intelligence, on the contrary, it is an indication of lazy grey substances or a serious malfunction in one's medulla. To denigrate Muslims contribution to science, geometry,physics,mathematics, medicine etc. shows lack of education. Just go and read this: Muslim Scientists and Islamic Civilization

But first, I think you are deliberately lying when you say the Iranian leader, Khamenei, said Jews should be boycotted. How could he say that while there are more Jews in Iran than they are in USA?
Your lack of understanding has lead you to think that Israel equals Jews. If anything, Khamenai is against Israeli politics and not Jews. Why, there are Jews- a lot of them- who are against the establishment of the state of Israel:True Torah Jews Against Zionism

Back to the topic of knowledge. I urge you to study the spread of knowledge in Europe between 12 and 13th century. You will see most of what you think is European invention was actually invented by Muslims and were brought to Europe via Spain, which for more than 400 years was ruled by Muslims. My intention here is NOT to deny Jewish invention and creativity. Infact, knowledge has no race or religion. All races and religions have equally contributed to knowledge. Sometimes you do not realise who invented what because of politics of the time. Do you know that things like fiber optics, refrigerator, light bulb, traffic light,gas mask, fire extinguisher and many more were invented by black men? Some were not recorded or accorded because their slave masters claimed the honour?
So, stop making one race as if it has the monopoly of knowledge. As for Muslims in modern times, try to find out who invented gas laser, electric chair, air gliders? Go and read a recent article by the British newspaper, The Independent, entitled 'How Islamic Inventors changed the World' How Islamic inventors changed the world - Science - News - The Independent
After that, either shut up or, if you chose to continue with your ignorance, please keep it to yourself and do not infect others. You sound so stupid and out of sync with current developments in the world with your daft claims while, as I am writing, Iran is one of the leading countries in the world in nano technology, Stem cells (2nd in the world after USA in stem cell transplantation) and q
Biotechnology. Your bigotry will take you nowhere.....open your eyes!
--------------------------------------

'There are more jews in Iran than there are in US?' - check your facts buddy there are five million in US now more than in any other country. Dont buy into things the muslim propagandist say against jews. Actually i started buying into this 'new world order
theory' but events like the bombings of the dar and Nairobi embassies plus the recent burning of churches i said to hell with the 'jihadists' and i support the jews 100% coz we all suffer the same fate now both christians and jews - we are all labelled as infidels by jihadists.
If we'd all put the veil of religion off for one sec and look back on history we'd realized how many horrible attrocities were commited and are still committed against jews today. Ask yourself have jews ever really rule the world? The romans did, so did the Brits and so did the egyptians. I'd have no problem at all with the jews taking the reigns today n what a world that would be!! Plus they are very good at whatever they set their minds to do. this holly war against the world starting with jews is hellish!
 
Kweli unakuwa na wakati wa kufikiri au unazuka tu? Mimi hutumia redio, televisheni, gari, Ipad, nguo....hebu niambie ni kipi kati ya hivi vimegunduliwa na Myahudi?
Halafu unauelezaje Uyahudi: ni dini au ni race? Maana kama ni dini maana yake nikiingia dini ya Kiyahudi na mimi nitakuwa 'itelligent' kama wao? Na kama ni race, Wayahudi wengi kwa kweli ni aidha Wa Ulaya ya Magharibi au ya Mashariki. Huko ndiko walikoishi kwa mamia ya miaka.... Sasa ni kitu gani hiki kinachomfanya awe tofauti na Wa-Ulaya wengine? This is stupid brain wash. Kitu pekee ninachokubali ni kuwa Wayahudi hutilia mkazo masomo na wana taasisi zao pekee wanazowakuza watoto wao kwa training tangu udogo. Pia wana vyama vya kuwasaidia watu wa jinsi yao kusoma kwa kuwalipia fees na kadhalika. Kwa hiyo, la maana hapa sio Uyahudi, bali ni kujiandaa vizuri kimasomo. Kwa maana hiyo, hata Msukuma, kama ngekuwa na mipango kama hiyo ya masomo pia angekuwa na uwezo huo huo. Kumbe huu upuuzi wa apartheid uko hata kwa Wabantu?

Sijali, katika maelezo ya huyo jamaa kwa mfano kwenye list ya waliopata Nobel Price ; ametaja Wayahudi wote bila kujali anatoka Austria, USA or Ethiopia, au Iran ili mradi ni Mhayahudi; ukicheck wengine ni Hungurian Jews kwa mfano tu. Jaribu kukubali , hawa jamaa wako njema ikulingalinisha na uchache wao katika dunia; chngo wao ni mkubwa. Yafaa uelewe hapa jamaa logically anaelezea significance ya wayahudi against racials zingine; maana Wayahudi (racial) na dini ya Kiyahudi lakini hakuna racial ya Waislamu (blacks, whites, arabs ) bali dini ya Kiislam. Kwa hiyo kucompare Jews & Musilims is like comparing Jews and all other races.....
 
hapo kwenye red umeniacha hoi sana!!

mkuu ni kweli bongo za waarabu hata aishi miaka mia bado ubongo wake ukiuweka mezani unakuta bado mpya i mean hajautumia kabisa kama ukilinganisha na ubongo wa kijana wa miaka 20 wa kiyahudi utakuta ubongo wake umesha chakaa!,waarabu hawatumii sana ubongo ktk kufikiri na kutenda thats y matendo yao yapo kimkato sana kujilipua,kuchinja, kukata,kula,kunywa kahawa kwenda kufanya maandamano,kuchoma matairi,kurusha mawe na kufuga mashetani hususani majini! na ukiangalia kwa umakini hata miji yao na vitu vyao wamejengewa na wayahudi either kama third part au directly,nani walijenga mapiramidi ya misri kama sio wayahudi?!yale makampuni yanayojenga dubai yanimilikiwa na wayahudi waholanzi!,chakuchekesha hadi mafuta wanachimbiwa na usa na ukiangalia utagundua wahandisi wengi ni wayahudi
 
Kumbuka katika kila jewis mooja kuna waislam 100.. kwa hiyo tulitegmea mambo waliofanya/wanaofanya waislam yawe mara mia moja zaidi ya wayahudi... KINYUME CHAKE NDIO UKWELI
 
Back
Top Bottom