Bachelor ll
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 4,103
- 6,700
Fasihi za afrika magharibi ni nzuri sana .Mkuu unayo pdf. yake nirudie kukisoma pamoja na kukisoma miaka hiyo ya zamani sana nikiwa sekondari.......huenda nikikisoma kwa sasa nitayaelewa maudhui yake kiundani zaidi.
Hivi secondary siku hizi wanasoma vitabu gani? Hiki kitabu kilikuwa kina fasihi nzuri sana. Pamoja na Is it possible, cha mwandishi mmasai wa Kenya. Kiswahili kulikuwa na vitabu vya Shaaban Robert.Mkuu unayo pdf. yake nirudie kukisoma pamoja na kukisoma miaka hiyo ya zamani sana nikiwa sekondari.......huenda nikikisoma kwa sasa nitayaelewa maudhui yake kiundani zaidi.
Kuna hiki na 'no longer at ease' sijui kama bado wanavitumia ukichukulia elimu ya sasa ishakuwa ya mwendokasi.Hivi secondary siku hizi wanasoma vitabu gani? Hiki kitabu kilikuwa kina fasihi nzuri sana. Pamoja na Is it possible, cha mwandishi mmasai wa Kenya. Kiswahili kulikuwa na vitabu vya Shaaban Robert.
Page 136 tu mimi nilidhani ni bonge la kitabu.Thank me later.View attachment 2733973
Kongole sana mkuu, tupia na 'no longer at ease' kama hutojali.Thank me later.View attachment 2733973