bila shaka wewe ni mkrsito hebu nijibu maswali haya.
1. nitajie errors 5 za kisayansi zilizopo kwenye biblia.
2. nitajie errors 5 za kihistoria zilizopo kwenye biblia.
nataka nijue uelewa wako kwanza kabla sijafika mbali.
Mkuu wala kurudiwa sio hoja kuna vitabu vingi vya comic na hadithi vinarudiwa hivyo haihalalishi uahalisia wake biblia na quran vina fall kwenye category ya vitabu vy hadith kuna watu wachache manataka kuwafanya charcaters kama god angel na demons ni viumbe halisi hapo ndio shida ilipo.Nimsaidie kidogo, hata kama ataleta hizo jibu.
Kuwa mkristo OR muislam haiwezi kuwa sababu ya kujua makosa yote yaliyomo kwenye msaafu, kwanza kwenye misaafu hakuna errors za kiimani labda errors za kiuandishi na nk.
Ndiyo maana kila MTU (siyo binadamu) huwa anatafuta hizo errors kwenye IMANI isiyomuhusu ili iwe bakora kwa mbwigas.
Nakupa hii hapa, kati ya vitabu vyoote ulivosoma kipi kinarudiwa na mara zote many years throughout badp kinaoneka hakichoshi na kuonekana kama hujawahi kukisoma?
Kumbuma sayansi ime_copy from Bible, also history issues.
Naungana mkono hoja yako 100% wanaobisha wabishe ila huo ndio ukweli, uwepo wa Mungu upo kinadharia zaidi, Mzungu aliandika biblia ili kuifanya dunia iwe sehemu ya amani tu lakini alikuja kuieneza Afrika ili kuogofya waafria na kuwafanya inferior ili iwe rahisi kuwatawala.
Angalia
Hivi kweli hakuna hata mweusi mmoja ambaye mungu alimuona kipindi hicho akambariki??????
- Mungu mweupe (mzungu)
- Malaika weupe(wazungu)- shetani mwausi(mwafrika)
- Manabii wote walikuwa wazungu
- Yesu mzungu
- Utamaduni wao hadi wakutembea uchi ni baraka- wetu sie waafrika sio wakistarabu
- Baraka zote zipo kwao- laana Afrika
Lazima tukubali biblical theory ilienezwa sana baada ya wazungu kuona Charles DArwin kaja na Evolution theory hali ilionesha mwafrika ni mtu wa kwanza kuishi katika sayari ya dunia, hapo ndipo walipojifanya kuja kuieneza sana dini ukizingatia walihofu kipindi cha industrial rev isingekuwa rahisi kupata cheep lobour kama wasingetumia biblia. ukweli biblical theory is just a myth, uwepo wa mungu pia ni dhahania tu.
Mkuu wala kurudiwa sio hoja kuna vitabu vingi vya comic na hadithi vinarudiwa hivyo haihalalishi uahalisia wake biblia na quran vina fall kwenye category ya vitabu vy hadith kuna watu wachache manataka kuwafanya charcaters kama god angel na demons ni viumbe halisi hapo ndio shida ilipo.
pamoja na hayo kuna erros nyingi sana kwenye biblia na quran just google it ukishindwa nitakuletea mwenyewe.
Apo xaxa yesu mweupe maraika weupe....asa inamana enzi izo yesu alipo shuka duniani ina maana wa africa hawakuwepo.....
MBONA HUKUJADILI UCHAWI KAMA UPO AU LA. Unajitahidi kusema Mungu hayupo na kudhirisha wewe ni wa shetani hukujadili kama shetani yupo au la. NAWAOMBA WOTE AMBAO MUNGU WETU AMEKASHIFIWA NA KUVUNJIWA HESHMA TUMUOMBE AMSHUHULIKIE HUYU MJUMBE WA KUZIMU MPAKA AJUE NGUVU ZA MUNGU.
bila shaka wewe ni mkrsito hebu nijibu maswali haya.
1. nitajie errors 5 za kisayansi zilizopo kwenye biblia.
2. nitajie errors 5 za kihistoria zilizopo kwenye biblia.
nataka nijue uelewa wako kwanza kabla sijafika mbali.
Basi inaonekana huamini kuwepo kwa Mungu wala shetani. Basi wewe unaamini umetoka wapi?
Tuanze na namba moja, ningependa nipate ufafanuzi zaidi.
4. Kwamba mitume na manabii wote wametoka FAR EAST. kwamba around north Africa and western Asia. no more. (Ikiwa unaushahidi hata wa maandiko tu kupitia vitabu vitakatifu unaoonesha uwepo wa mitume apart from far east ningependa unitoe haya matongo)
Jee Mungu hakutaka kuabudiwa na watu kutoka Southern Africans? China? Korea? Northern Europe? North and Southern America? Australia?
Kwa jinsi ninavyofahama ramani, China, Korea, Japan nk ndio zinaitwa Far East. Sasa sijui ulikua unamaanisha Middle East?
Ok. no. 1 nimejiridhisha kwamba imani za kuamini Mungu ziko nyingi na zinatofautiana ktk sifa za Mungu huyo pia zinatoa mafunzo tofauti, but licha ya uwingi huo, kila imani inajiona ikosahihi kuliko imani nyengine. Sasa jee inawezekanaje imani hizo zote ziwe sahihi?
Njoo kwenye madhehebu, ukiristo unamadhebu yasiyopungua 50 world wide but kila dhehebu linajiona liko sahihi kuliko jengine, ikiwa unasoma historia utagungua kuna vita zilipiganwa ambavyo ni dhehebu moja dhidi ya jengine Hata ujerumani walishapigana hii vita.
Ktk uislamu kuna madhehebu zaidi ya 7, na kila dhehebu linajiona liko sahihi hadi kupigana vita. kumbuka Irani Shia v. Sunni. Suni wanawaona mashia makafiri na kinyume chake ni hivyo hivyo ukizingatia hao wote wanaini na kufuata Quran.
Sasa basi hapo nikadraw conclusive and unconlusive ruling kwamba;
Conclusive: Haiwezekani imani zote dhidi ya Mungu ziwe sahihi. Jee unapinga hapa?
Unconclusive: But KUNAUWEZEKANO hao wote ni waongo.
Yupi ni mkweli na yupi ni muongo inategemea na hoja nyengine 8 zilizobaki ili kudraw conclusive rule.
jerrytz nakusoma vizuri.
Unasoma idea ya God inaweza kutafriwa ktk mitindo tofauti kwa kuzingatia imani tofauti hapo tuko pamoja, coz hata mimi naami 'GOD' ni abstract idea. Kwa mantik hiyo hata mimi naweza kusema Mungu yupo kwa kigezo cha 'Super natural power' hope hilo liko wazi na ndio sababu ktk kichwa cha habari sijaeleza moja kwa moja kwamba God hayupo "A God can be a mere theory"
Mungu wa wakirosto na waislamu (hata traditional gods) ndie ninaemkataa kutokama na sababu tisa nilizoorodhesha kwa thread.
There can be a God in sense of Super natural power ambaye naweza kusema kwamba hana mahusiano yoyote na imani tajwa hapo juu.
What do you think jerry?
(Naomba unipatie hiko kitabu.)
Ujue kuna imani na kuna dini,wapo wenye kuamini kuwepo kwa mungu ila hawaamini dini,sasa ukiwaweka wote hao kwn kundi moja halafu ndiyo uulize kwanini wanatofautiana utakuwa haujatenda haki...hebu weka sawa kwanza jambo hilo.
Kwa wengi Mungu ni wa kufikirika zaidi ili tu wakidhi haja ya kuona wapo chini ya mamlaka fulani.
Nilianza kuwa na mawazo hayo kabla ya kuhitimisha kukataa uislamu na ukiristo. hapo unakubali wewe na hata mimi but ukimueleza shekhe au padri maneno hayo anaweza kukuesabu umekengeuka maandiko.Dini nyingi ni matokeo ya wachache kupanga mfumo wa dini kwa maslahi yao. Uwepo wa Mungu kwa upande wangu unaweza usiwe kwa namna ambavyo dini zinafasiri kwa kuzingatia tendency ya wanadamu kuweka mambo na kuyapanga kwa maslai yao.
Yah, na hiyo itatokana na ile dhana ya Mungu kwamba ni abstract theory inayotafsiriwa kulingana na imani fulani rather than reality how God is and whats really want us to do for the sake of him.Sababu zako tisa zinaweza kuwa za kufikirisha ila hazijibu wala dhana ya kutokuwepo kwa Mungu.
Hiyo haiwezi kumanisha huna wazazi but ukumbuke wazazi ni binadamu ambao ni wadhaifu wakati Mungu ni the perfect one ambae hawezi kuwa na huo udhaifu. hope you see the logic.Unaweza kuwa na wazazi na wakakuacha bila msaada je hiyo ni proof kuwa hauna wazazi?
Si umeona hapo mkuu? Nimeonaijadala mengi ya kidini hapa kati ya wakiristo na waislamu, unakuta muislamu anauponda ukiristo kwa matendo ya mapadre kwa mfano padre akilazimisha watu kutoa sadaka, Sometimes padre wakitia mimba kondoo wao nk. na pia wakiristo wakiponda uislamu kwa vitendo vya mashekhe kufanya uzinifu, kubaka, matendo ya alshabab, boko haram nk.Kikubwa ninachoona hapa ni kuwa tunataka Mungu ajifunue kwetu kwa namna tunayotaka, vitabu vya kiroho vimetueleza mengi kuhusu Mungu lakini walimu wa kiroho wamemweka Mungu mbali zaidi na waumini kwa kuwa wao wamekaa kati ya Mungu na wanadamu.
Wengi wameona sauti za viongozi wa dini kuwa sauti ya Mungu, tazama dini zote zenye ''extremists'' , watu wameshawishiwa kufuata misimamo ya watu kwa kigezo cha ''thus said the Lord'', or ''that's what Allah commands''
All in all, tunachokosa wanadamu ni tafsiri sahihi ya Mungu na madhumuni ya kutuumba katika mtazamo wa maisha tunayoishi.
Wengi wanatamani Mungu awafanye wawe vile wanavyotaka kuwa. Ni sawa tu na girlfriend wako kupima upendo wako kwa kumnunulia gari,usimpomnunulia gari basi conclusion ni kuwa humpendi!!!
My conviction is; the existence of God is far beyond mere theory,myth or speculation.
Tuendeleeeeee