Hahahaha!! Mashaxizo ni ngumu aiseee sababu mwanadamu toka mwanzo ni mbinafsi, kila mmoja anataka lake liwe sahihi, Biblia naweza kusema ni nzuri sana na ni mbaya sana iwapo utakosa kuielewa na inaweza kukufanya ukawa kichaa kabisaa.
Mfano kuna baadhi ya mistari hufanya watu wachanganyikiwe na kuwa vituko mfano hii mtakula sumu wala haitawadhuru, mtakanyaga nge na nyoka wala hawatawadhuru mtu anatoka moja kwa moja anachukua sumu anasema tumeambiwa Sumu haitatudhuru....
Au kuna mwingine unasema msinyimane mmepewa kupatana kwa muda basi wee full watu kugegedana ati wasinyimane...... Lol.
Ukiwa na mahusiano mazuri na Mungu utaongozwa kupata maana halisi ya neno, utaongozwa kwa lile ulilolisikia kutoka kwa Mungu linaendana vipi na neno, na je hilo lipo kwenye neno?
Hayo maelezo yameanza kuelezea hali ya kwamba teyari ushaweka kanuni ya kwamba B hapaswi kuthibitisha,lakini huwezi kusema tu kwamba kitu fulani hakuna bila maelezo ya kwanini unasema hivyo.
Mie naamini mungu mmoja na naamini dini ya kweli ni moja.
Naomba uniambie nje ya dini watu wamemjuaje mungu?
Hahahahaaaaa! si unaona siasa zenu hapo? Kwavile imeshagundulika jua halitembei sasa unamanisha pale Mungu hakukusudia or kumanisha Jua linatembea.
Chek na swali uliloniuliza hapo?
Wewe ni mtu yule ni Mungu, wewe ni dhaifu yule ni the perfect one. Wewe hujaumba lolote but yeye ameumba kila kitu.
Mtu utamfananishaje na Mungu? Sadly siasa hizi zinatumiwa hata na Muslim.
Ivi waumini ni nani aliewaroga?
Hatishwi mtu mkuu! mlinitisha sana but for now. MIMACHO YANGU IMEFUNGUKA VIZURI.
Kuna article fulani (philosophy of religion) moja ya part yake inaongelea "Language of religion" nimeona sana utata kama huo na huo utata kwa vitabu vyote vya dini. Wanadini wenyewe wanatetea na kusema kwamba watu wanatafsiri 'sisisi' vitabu vyao. naweza kukubali kwa upande mmoja but upande mwengine napinga coz Mungu hakueka wazi hapa ni sisisi na hapa ni context, i wonder how the text of God contain many ambiguity, wakati amaelewa watu wanauwelewa tofauti.
Labda nikuulize everlenk. Hivi unalichukuliaje suala la Mungu kutoa utume kwa watu wa Middle East TU? yaani from Adam - Ibrahim to Yesu. in fact to Muhammad but nimemuacha coz humuamini.
Mwamuzi ni wewe na MOYO wako, wala hautokuwa wa kwanza kubishia uwepo wa MWENYEZI MUNGU MUWEZA WA YOTE walishakuwepo wengi na walikuwa na uwezo mkubwa kuliko wewe kamtu kadogo lakini mwishowe walikubali na kuthibitisha wenyewe...
Kamtu kenyewe kadogo maskini hata AKILI hazija kukomaa vizuri alafu unaanza kupinga ukweli ULIOKUWAKO tangia enzi na enzi.
Ivi jiulize ni jambo gani kubwa la maana ulilowahi kulifanya hapa duniani Mpaka Dunia ikatikisika na kukutambua..., najua jibu ni hakuna coz mtaani kwako tu si bure watu hawakutambui sasa compare na ilivyo kwa MWENYEZI MUNGU....Anyway Jaribu kufikiri Maelfu Kwa mamia wanainama kifudifudi na kumwabudu MWENYEZI MUNGU inamaana wao wote wako-wrong na ni wewe pekee uko sahihi??
But all in all choice is yours, to believe or not to believe.
Unajuaje simuamini.....lol(jokes), kuna article fulani niliwahi iona kipind hicho nilipokuwa mbishi kama wewe kuhusiana na Mungu ilielezea vizuri sana kuhusu Utume ambapo wengi hudhani Afrika au mtu mweusi kama hakujaliwa na Mungu, ngoja niitafute nikiipata ntaitupia hapa tuchanganue vizuri.
Ila kifupi nachoelewa Mungu hakutoa utume kwa middle East tu, tukiangalia historia katika Biblia tunaona habari za Misri na mambo yake, Misri ni Afrika, zipo habar za Kushi hii nayo ni Afrika ambayo,zipo habar za mitume wa Yesu walipohubir kuna ambao walifika hadi Afrika na makanisa mengi yakaanzishwa huko, Mimi nachoona wenzetu wazungu walikuwa speed katika ufahamu ingawaje Historia ya kidunia inatuaambia ukoloni uliingia Afrika kupitia dini pia, ndo hivyo kuna mambo yalikuja kama mazuri kumbe ni mabaya na kuna mambo yalikuja kama mabaya kumbe yana kusudi.
Hahahaaaaaa! Tz mbongo chomoka huko. hivi utadanganywa danganywa mpaka lini na kuishi maisha ya kuogopa moto usiokuepo? hivi hujiulizi mtu akishakufa imani zenu zinasema sijui anaanza kuteswa kaburini! sijui Mungu anahifadhi roho sehemu. Sasa kwanini watu wenye tabia mzuri huwatokea jamaa zao hata baada ya miaka kumi ya vifo vyao? Au unataka kusema ni waislamu or wakiristo tu ndio huwarokea watu wao?
Then sijajiwekea kwamba B hawezi kuproof, hiyo ni general overview word wide na hata ktk uislamu (shariah) burden to proof an existence of some thing lies to somebody who allege such existence. wakiristo hawana hiyo coz mambo ya sheria na hukumu zake hakuna ktk biblia. sijaelewa everlenk alimanisha nini aliposema biblia haijaacha kitu!!!!!!!!
Ninaposema kitu fulani hakuna sina maana kwamba hakuna proof. hapa ningekuleta moja kwa moja na issue ya Mungu na ithibati kwamba hayupo.
1- Sense organ hazijaproof.
2- Science haijaproof, only imedhihiriaha uongo wake kupitia matabu yenu matakatifu.
3- Logic inagoma pia.
Kwanza kabisa mkuu thanks kwa hizo personal attack zako dhidi yangu. coz i know that i know nothing i don care at all. Siku zote mtu anaposhindwa kutetea hoja haachi kuleta viroja.
Mkuu ningependa utambue hapa hatubishani thus why yoyote mwenye kujua yuko huru just naangalia hoja zake na kamwe sitopingana na ukweli. moja ya sababu ya kuleta mada hii ni kuangalia ukweli uko wapi, coz i know i can be wrong like any other person!
:focus:
unaposema wote wanaoabudu hawana akili isipokua mimi. hapo nakataa.
Coz sio mimi tu nnaepinga matabu yenu matakatifu.
2- Wote wanaoinama na kumsujudia Mungu hawamsujudii "the same God" Jee kuna miungu wangapi?
Mashaxizo mataifa hayo yapo kwenye Biblia yakishatajwa tayari inadhihirishwa watu wake wapo katika mpango wa Mungu hata kama hakukuwa na Nabii aliyetajwa moja kwa moja na Biblia , tumia muda tu kusoma Biblia na kugoogle, bahati mbaya mimi historia sizipend nitaomba wengine wakusaidie katika hilo..........Hahahahaaaaa! everlenk itafute tu hiyo article, huenda nami nikajifunza mengi.
Napoongelea Middle East actually naonganisha na Noth Afrika (white Africans) ukiwa na atlas or google map ningependa uangalie vizuri.
Hakuna nabii Afrika ya kati wala kusini.
Hakuna nabii North, East wala West.
Hakuna nabii China wala Korea.
Hakuna nabii Marekani ya juu wala ya chini.
Hakuna nabii Australia.
Jee ni kwamba huko hakukua na watu?
Or walimuamini na kumuabudu Mungu automatically?
Or Mungu hataki ibada za hao watu?
Cc: Kizzy Wizzy.
...........
Hata leo tunaambiwa Wazungu wanaakili sana kuliko sisi Weusi, na watu kama wewe kuamini hivyo! Kwahiyo siwezi kushangaa kuwa umeaminishwa na kuamini kuwa Nebuchadnezzar alikuwa na akili kuliko binadamu yoyote aliyepata kuishi! Upande mwingine, tunaambiwa Suleiman alikuwa na akili, hekima na busara kuliko binadamu yoyote!!! Haya mambo ya Mungu na Uungu, they only exist in your own mind, and those who make their living by preaching! Lazima wazidi kukuogopesha.......though uoga huo usaidia kuwepo kwa Amani.......... Ila uwezi kunidanganya kuwa there is life after death na kwamba kuna supernatural powers
Hahahaaaaaa! Tz mbongo chomoka huko. hivi utadanganywa danganywa mpaka lini na kuishi maisha ya kuogopa moto usiokuepo? hivi hujiulizi mtu akishakufa imani zenu zinasema sijui anaanza kuteswa kaburini! sijui Mungu anahifadhi roho sehemu. Sasa kwanini watu wenye tabia mzuri huwatokea jamaa zao hata baada ya miaka kumi ya vifo vyao? Au unataka kusema ni waislamu or wakiristo tu ndio huwarokea watu wao?
Then sijajiwekea kwamba B hawezi kuproof, hiyo ni general overview word wide na hata ktk uislamu (shariah) burden to proof an existence of some thing lies to somebody who allege such existence. wakiristo hawana hiyo coz mambo ya sheria na hukumu zake hakuna ktk biblia. sijaelewa everlenk alimanisha nini aliposema biblia haijaacha kitu!!!!!!!!
Ninaposema kitu fulani hakuna sina maana kwamba hakuna proof. hapa ningekuleta moja kwa moja na issue ya Mungu na ithibati kwamba hayupo.
1- Sense organ hazijaproof.
2- Science haijaproof, only imedhihiriaha uongo wake kupitia matabu yenu matakatifu.
3- Logic inagoma pia.
Mmmh! sijui post yangu iliyopita hukuilewa or hutaki tu!!!!!
Nimekwambia Mungu anatafsiriwa tofauti kupitia maana tofauti. Huwezi kusema ili umjue Mungu ni lazima uwe na dini ukizingatia dini zote zinaongea uongo. Jee Mungu anaweza kuongopa?
Na usikute mimi namjua zaidi ya wewe!!! teh teh teh!!!
Hiyo dini ya kweli unayoijua wewe ni ipi????
Tafadhali usijifanye hujaliona hilo swali.
Mashaxizo mataifa hayo yapo kwenye Biblia yakishatajwa tayari inadhihirishwa watu wake wapo katika mpango wa Mungu hata kama hakukuwa na Nabii aliyetajwa moja kwa moja na Biblia , tumia muda tu kusoma Biblia na kugoogle, bahati mbaya mimi historia sizipend nitaomba wengine wakusaidie katika hilo..........
Ila mfano Babylon,the Golden cup hand of God wanavyojiita wenyewe ndo America ya sasa,kuna mataifa yaliyotajwa kama Persian ambayo ndo Iran, Syria, Australi(Armstrong)kama Australia Sinim kama sikosei Isaya 49:19 imeelezea hayo ......pia ndoto ya Nebukadreza ambayo Daniel alitafsir kuna mataifa yameelezwa pale...... Ntuzu saidia hapa tafadhali.
Embu kwanza twende taratibu...
Wewe nia yako ni ipi haswa?
Uzi wako huu ulioanzisha,tittle yake na point zako unazochangia katika mada nyingine kama zinanichanganya....
Ni kwamba unapinga uwepo wa Mungu wetu sisi wakristu na unakubali uwepo wa miungu mingi mingine nashindwa kukusoma clearly....!
Mashaxizo mataifa hayo yapo kwenye Biblia yakishatajwa tayari inadhihirishwa watu wake wapo katika mpango wa Mungu hata kama hakukuwa na Nabii aliyetajwa moja kwa moja na Biblia , tumia muda tu kusoma Biblia na kugoogle, bahati mbaya mimi historia sizipend nitaomba wengine wakusaidie katika hilo..........
Ila mfano Babylon,the Golden cup hand of God wanavyojiita wenyewe ndo America ya sasa,kuna mataifa yaliyotajwa kama Persian ambayo ndo Iran, Syria, Australi(Armstrong)kama Australia Sinim kama sikosei Isaya 49:19 imeelezea hayo ......pia ndoto ya Nebukadreza ambayo Daniel alitafsir kuna mataifa yameelezwa pale...... Ntuzu saidia hapa tafadhali.
Hazija proof kvp?fafanua.
Suala la Mungu bado tunatatizana halafu unataka nikutajie dini ya kweli..!! Eleza kwanza Mungu unamtafsiri vp?