Hekima kubwa itumike juu ya nani awe mbadala wa Nchimbi

Hekima kubwa itumike juu ya nani awe mbadala wa Nchimbi

tubalayya

Member
Joined
Apr 16, 2010
Posts
95
Reaction score
146
Hekima kubwa itumike juu ya nani awe mbadala.

Ni kweli, saa nyingine ujasiri hutakikana katika siasa, ila si mara zote. Na gumu zaidi ni kugundua muda gani ni muwafaka.

Ah! Laiti ningekuwa na Chrystal ball!

Time will tell.
 
Hekima kubwa itumike juu ya nani awe badala.
Ni kweli, saa nyingine ujasiri hutakikana katika siasa, ila si mara zote. Na gumu zaidi ni kugundua muda gani ni muwafaka.
Ah! Laiti ningekuwa na Chrystal ball!

Time will tell.
Mbowe anakuwa vp
 
Hivi kuna hekima kweli siku hizi! Au mtoa mada yuko dunia nyingine tofauti na hii ya kwetu!!!
 
Back
Top Bottom