Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 35,135
- 60,902
Kawaida kwa vipi, kuzini nje ya ndoa ni kawaida? Kongosho (sikujui anyway) una mme? Ukimcheat ni kawaida?
kwa nini babu?!
Babu mbona umewaka sana....
Kwa wale tulio karibu na hawa ndugu, haya mambo yanaendelea kwa kasi ya kutisha!!
Babu DC!!
Ndio maana wanapenda uliberali kuepuka matokeo.Hahahahahahaha, padri kamtundika mimba binti wa watu, lol!
So the father of the Baby is UNKNOWN?!!!
Kawaida kwa vipi, kuzini nje ya ndoa ni kawaida? Kongosho (sikujui anyway) una mme? Ukimcheat ni kawaida?
Hapana si kawaida, ni kuvunja tunachokatazwa! Hata dhana ya mafiga matatu, naamini kabisa mume hawezi kukubali kuwa dhana ya mafiga matatu inatoa uhalali wa mke wake kutafuta wanaume wengine wawili! Walei sawa, lakini sio kawaida ndio maana unawatolea mfano maana wanafanya kisicho cha kawaida!Nimesema ni kawaida kulingana na sura ambayo mwandishi alitaka kuitoa, walei wangapi wanazini? Ni exceptional kwa sister?
Kuzini ni kawaida ama si kawaida kutegemea na tamaduni za eneo husika, hujawahi sikia dhana ya mafiga matatu?
Yanafanyika,ninachokataa ni kuwa kimeshakuwa kitenda cha kawaida! Kawaida mtu atajinadi, lakini waulize kama watakubaliBabu mbona umewaka sana....
Kwa wale tulio karibu na hawa ndugu, haya mambo yanaendelea kwa kasi ya kutisha!!
Babu DC!!
A 31-year-old El Salvadoran nun has caught the Roman Catholic Church off guard by giving birth to a baby boy.
Roxana Rodriguez-was rushed to a hospital in Rieti, Italy on Wednesday for severe stomach pains. She eventually had the baby several hours later and decided to name him Francesco in honor of the Pope.
Hongera sista kwa kutuzalia mtoto bila kuitoa hiyo mimba. Hizi case zipo sana na wengine hawajapata tu mimba ila wanazini kama kawaida. Maisha ya kuishi bila mwanamume au mwanamke ili hali wewe ni kamili ni mazito na magumu sana hasa katika umri wa huyu sista. Ni wakati umefika kanisa lifanye mabadiliko kwa sheria na taratibu za daraja la upadre na masista. Vinginevyo wataendelea kuzini, mnafurahia kuona hawana mimba but walizotoa ni nyingi na wengine wanatumia contraceptives, mapadre ndiyo usiseme kwa kuwa wao hawabebi mimba but are several children out there.
Huyu sista kabeba kashfa ya karne.Wapelelezi wakianza kumfuatilia kuna mengi yatajitokeza ambayo pengine kanisa lisingependa watu wajue.Kwa nini azae mtoto mwanaharamu harafu amwite francesco jina la pope? Je anamtukana direct pope kuwa ni mwaharamu au ana siri kuhusu huyo pope mpaka amwite eti kwa heshima yake.Kwa heshima ipi hasa?
Aliyempa mimba hajulikani angalau kwa sasa.Lakini la uhakika mtoto anaitwa Francesco Kwa heshima ya pope francisco.Anayejua kwa nini mtoto kaitwa hivyo ni huyo sista pengine na papa ambaye anajua kwa nini huyo mwanamke kamheshimu mpaka akampa mwanae jina hilo.Mengi zaidi tunangoja kutoka kwa wachunguzi waliobobea kwenye high profile investigations.
Hapana si kawaida, ni kuvunja tunachokatazwa! Hata dhana ya mafiga matatu, naamini kabisa mume hawezi kukubali kuwa dhana ya mafiga matatu inatoa uhalali wa mke wake kutafuta wanaume wengine wawili! Walei sawa, lakini sio kawaida ndio maana unawatolea mfano maana wanafanya kisicho cha kawaida!