Halafu wakenya naona mnajipakulia tu minyama! Ko hilo gazeti ni kubwa kuliko BBC? Yaani mmeamua kujitafutia umaarufu kupitia tukio letu? Yaani ni shida tupu mara utasikia "ohh tanzanians wametucopy" mara "ohh Tanzanians wanashika haraka" pumbavu zenu. sisi tuliandamana kwa ajili ya kulinda maslahi yetu na hii ni mara ya kwanza kuandamana kitaifa lakini sio mara ya kwanza kwa watu wa Tanzania kuandamana. Arusha walishawahi kuandamana hata kabla ya hao gen z wa kenya. Tarime walishawahi kuandamana kupinga matokeo ya uchaguzi wa ubunge hata kabla yenu gen z! Hivyo acheni kujipa umuhimu usowastahili.