Waliofikwa na umauti poleni.
Ila Happy Nation huwa ni basi ninalojua lina mwendo kasi sana, cha ajabu ndio usafiri pekee ninaoupenda nikisafiri kwenda Mbeya.
Taarifa ya habari ITV; waliokufa ni abiria saba akiwemo dereva wa Ngorika, na abiria 3 waliokuwemo kwenye gari ndogo pamoja na dereva, kwenye Ratco ni majeruhi tu japo dereva kakatika miguu yote miwili