A 48-hour ultimatum given by the UN peacekeeping mission in DR Congo has EXPIRED

Kama unaamini aliyefanya genocide ni kagame lazima utakuwa mwehu wewe.
Amesababisha genocide ya watutsi rwanda kwa kuanzisha vita vya ukombozi fake kwa uroho na tamaa ya uongozi, halafu akafanya genocide ya wahutu kongo.
 
hawa ndio M23

Al_Jazeera-M23_troops_in_Bunagana_3.jpg

Mbona wanaonekana wachovu sana hawa askari wa kagame? Kweli kuna kila sababu ya Jeshi la Congo kusukwa upya.
 
Safi sana jwtz!pamoja na maduku duku niliyo nayo juu ya serikali,kwa hili Niko pamoja nayo.ni kusafisha Rwanda yote.
 
Amesababisha genocide ya watutsi rwanda kwa kuanzisha vita vya ukombozi fake kwa uroho na tamaa ya uongozi, halafu akafanya genocide ya wahutu kongo.
Ukombozi fake my azz,unajifanya unajua kumbe akili za makamasi tuu.
 
Kama unaamini aliyefanya genocide ni kagame lazima utakuwa mwehu wewe.
Kagame na mu7 ndio walisababisha genocide.....endeleeni kukataa nyie m23 na wenzenu interahamwe.... huo ni ukweli mchungu.
 
Hakuna jeshi hapo mapimbi tu hao..kama wanajeshi kweli si waende afghanistan !! Au waende syria

Huna akili wewe; Wewe ambaye siye pimbi jitokeze basi ukawaonyeshe umahiri wako. we ukisikia tu mlio wa risasi unazimia coward mkubwa
 
Ukombozi fake my azz,unajifanya unajua kumbe akili za makamasi tuu.
Naona huna hoja unatukana. Tuambie 'ukombozi wa kagame ni kutoka kwa Habyarimana au mkoloni gani?' maana kagame anajidai 'liberation fighter' kama samora
 
Hakuna jeshi hapo mapimbi tu hao..kama wanajeshi kweli si waende afghanistan !! Au waende syria

tunakujua wewe ni mfuasi wa Kagame! unaumia kuona vijana wa kazi! subiri moto unakuja. halafu uwe na akili, acha matusi ya kijinga!
 
Hivi ww unayesema askari we2 mapimbi,una akili kuku wewe,hivi unajua maana ya uzalendo ,ndo mana bunge likaamua vijana waende jkt ili wawe na uzalendo na nchi halafu jamaa anaongea vizuri wewe una2kana 2, ------- sana wewe.
 
kuna kijana wangu yupo kule anaitwa LT Hamad katuli, mungu nakuomba uwape ujasiri wa kumshinda adui

hongera sana mzee kama na wewe umeweza kutoa kijana wa kuutetea utu wa wanadamu wenzetu, nasikia wanawatandika kweli hayo magenge ya kagame yanayoongozwa na m 23!
 
Back
Top Bottom