A 4 year old boy sentenced to life in prison for alleged crimes when he was 1

Status
Not open for further replies.

RUCCI

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
1,701
1,714
egypt-child-in-jail-for-life.jpg


Mtoto wa miaka minne nchini Misri amehukumiwa kifungo cha maisha jela kwa hatia ya mauaji,
kusababisha vurugu, kuharibu majengo ya serikali na kutishia maaskari.

Mtoto huyo aliyezaliwa mwaka 2012, anadaiwa kutenda makosa hayo wakati akiwa na umri wa mwaka mmoja wakati vurugu zilizotokea misri mwaka 2014.
===========================

Convicted of murder, inciting riots, destruction of government property and threatening cops, a four-year-old Egyptian boy was sentenced to life in prison this week. Although the boy was less than two years old during the civil unrest in 2014, he was convicted in absentia due to a clerical error and the court’s incompetence.

Born in September 2012, Ahmed Mansour Karni was swept up in an indictment listing his name along with 115 other defendants accused of participating in riots and demonstrations on January 3, 2014. Despite that fact that Ahmed was only a year and a half old at the time, he was reportedly charged with four counts of murder, eight counts of attempted murder, vandalizing property belonging to the Egyptian Health Administration in his home province of el-Fayoum, threatening soldiers and police officers, and damaging vehicles belonging to security forces. Convicted in absentia, Ahmed was sentenced to life in prison on Tuesday.

Although Ahmed’s birth certificate was presented to the court, one of his defense attorneys accused the presiding judge of failing to review the case before abruptly passing down a life sentence on a four-year-old child. Lawyer Faisal a-Sayd asserted, “The child Ahmed Mansour Karni’s birth certificate was presented after state security forces added his name to the list of accused, but then the case was transferred to the military court and the child was sentenced in absentia in an ensuing court hearing.

This proves that the judge did not read the case.” In response to the absurd life sentence, another Egyptian lawyer, Mohammed Abu Hurira, wrote, “On the eve of injustice and madness in Egypt, a four-year-old child was sentenced to life imprisonment. He is accused of disturbance, damage to property and murder. The Egyptian scales of justice are not reversible. There is no justice in Egypt. No reason. Logic committed suicide a while ago. Egypt went crazy. Egypt is ruled by a bunch of lunatics.”

In June 2014, more than 180 Egyptians were sentenced to death after convicted of participating in a series of violent demonstrations protesting against the ousting of former Egyptian President Mohamed Morsi in 2013. Included among the 180 convicts sentenced to death was a blind man named Mustafa Youssef

“He was born blind. How would he kill, burn, and loot?” asked Mahmoud Abdel-Raziq, Youssef’s lawyer.

Besides ruthlessly punishing innocent children and blind people, the Egyptian government has become notorious for imprisoning journalists and escalating police brutality in recent years. According to the Nadim Center, a local rights group, 474 deaths occurred in police custody while 700 cases of torture committed by the Egyptian police were reported last year.

Human rights lawyer Ragia Omran recently told CNN, “Conditions in prisons are extremely poor. If we look at all the reports by independent and national and international human rights organizations on the use of extreme force, violence, torture, violations in prisons and especially in police stations has gone up.”

The implications of sentencing a blind man to death for participating in a riot and sentencing a four-year-old child to life in prison for outlandish crimes that he could not have physically committed has revealed the staggering flaws in Egypt’s deteriorating judicial system. Without even bothering to review Ahmed’s birth certificate, the court has proven that justice in Egypt is no longer factored into the equation.


Source: thefreethoughtproject.com

======================

Update

Jeshi la Misri lasema alihukumiwa kimakosa

Mahakama moja ya kijeshi nchini Misri ilimuhukumu kwa makosa kijana mmoja wa miaka minne kifungo cha maisha jela kwa mauaji wiki iliopita,jeshi limekiri.

Msemaji wa jeshi Kanali Mohammed Samir amesema kuwa mahakama hiyo badala yake ingemshtaki na makosa kama hayo kijana mwenye umri wa miaka 16 mwenye jina kama hilo.

Ahmed Mansour Qurani Ali alipatikana na hatia pamoja na wengine 115 kuhusiana na ghasia zilizotekelezwa na wafuasi wa kundi la Muslim Brotherhood katika jimbo la Fayoum mwaka 2014.

Wakili wake aliwasilisha stakhabadhi akithibitisha alikuwa yeye wakati huo.

katika chapisho lililowekwa katika mtandao wa facebook kwa lugha ya kiarabu,Kanali Samir alisema kuwa Ahmed Mansour Qurani Sharar mwenye umri wa miaka 16 angehukumiwa na wala sio Ahmed Mansour Qurani Ali.

Haijulikani ni nini haswa kitakachompata kijana huyo wa miaka 4.

Wakili wa mtoto huyo alisema kuwa jina lale liliongezwa katika orodha ya washukiwa kwa makosa,na kwamba maafisa wa mahakama hawakupeleka kibali chake cha kuzaliwa kwa jaji ili kuthibitisha umri wake wakati wa kosa hilo.

Alihukumiwa na mashtaka manne ya mauaji,jaribio la mauji na kuharibu mali ya serikali.
 
Hivi hata hamnaga social welfare oficers huko cz a case like this before sentence huyu jaji alitakiwa amfanyie dogo voidire amefikaje kuandika sentence ya hivyo kwa mtoto inaonekana hakusoma hilo file at all.
 
Aah mi sishangai maana ni waarabu. Hapo unaweza kuona pande 2. Ila kwa ujumla ni hulka halisi za hawa watu.
 
View attachment 324729

Mtoto wa miaka minne nchini Misri amehukumiwa kifungo cha maisha jela kwa hatia ya mauaji,
kusababisha vurugu, kuharibu majengo ya serikali na kutishia maaskari.

Mtoto huyo aliyezaliwa mwaka 2012, anadaiwa kutenda makosa hayo wakati akiwa na umri wa mwaka mmoja wakati vurugu zilizotokea misri mwaka 2014.
===========================
Misri ni Waafrika,ni warabu kwa kabila lakini ni waafrika
Aah mi sishangai maana ni waarabu. Hapo unaweza kuona pande 2. Ila kwa ujumla ni hulka halisi za hawa watu.
 
Dunia ya kiarabu ni hovyo na sheria zao ni za hovyo. Ni heri uishi na jumuia ya nzi kuliko waarabu. Kuna siku eti kesi ya jinai ya watuhumiwa zaidi ya elfu moja ilifanyika kwa siku moja na hukumu ya kifo kutolewa siku hiyo hiyo. Kwa wanasheria wasio na mlengo wa kiarabu watakuwa wamenielewa, sihitaji kuandika paper ya criminal justice hapa.
 
Dunia ya kiarabu ni hovyo na sheria zao ni za hovyo. Ni heri uishi na jumuia ya nzi kuliko waarabu. Kuna siku eti kesi ya jinai ya watuhumiwa zaidi ya elfu moja ilifanyika kwa siku moja na hukumu ya kifo kutolewa siku hiyo hiyo. Kwa wanasheria wasio na mlengo wa kiarabu watakuwa wamenielewa, sihitaji kuandika paper ya criminal justice hapa.
Vipi kwa sisi ambao ni layman mtumishi hatuwezi kujua japo in a nutshell?
 
K
Vipi kwa sisi ambao ni layman mtumishi hatuwezi kujua japo in a nutshell?

Kisimu nilichonacho leo hakiruhusu kuandika kwa kirefu. Kwa kifupi tu ni kuwa proving kesi za mob justice sio rahisi kihivyo. Lakini vile vile kiwango cha uthibitisho kwenye kesi za jinai ni kikubwa sana tofauti na kesi za madai. Upande wa mashitaka utoe ushahidi mzito kwa kila mtuhumiwa. Baada ya hapo kila mshitakiwa alete ushahidi wake wa utetezi na mashahidi wake. Labda kama washitakiwa wanakubali kosa baada kuuliza kwa ufasaha mmoja mmoja kitu ambacho kwa mujibu wa vyombo vya habari haikuwa hivyo. Ni hii ni kanuni ya dunia nzima. Sasa hawa waarabu naona wanahukumu kwa kuhisi tu.
 
View attachment 324729

Mtoto wa miaka minne nchini Misri amehukumiwa kifungo cha maisha jela kwa hatia ya mauaji,
kusababisha vurugu, kuharibu majengo ya serikali na kutishia maaskari.

Mtoto huyo aliyezaliwa mwaka 2012, anadaiwa kutenda makosa hayo wakati akiwa numri wa mwaka mmoja a wakati vurugu zilizotokea misri mwaka 2014.
===========================

Ukiangalia hapo mwaka aliozaliwa na mwaka wa vurugu na umri ulioandika hapo ni tofauti.

Isitoshe ukisoma habari iliyoandikwa kwa kiingereza wamesema umri ni tofauti.
 
Duuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
KUmbe Wamisri ni urojo sana. wanawezaje kutishiwa na mtoto wa mwaka mmoja??????????
 
Na wanasheria wasomi na majaji na ndevu zao kama mabeberu wanaishupalia kesi kama ya huyu toddler? God help us!
 
Haiwezekani.....kuna kitu hakijakaa sawa katika taarifa hii.

Mwaka mmoja si ndio kwanza anatembea kwa 'kunyata' bado? Kwa wale slow, bado anatambaa!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom