Mwalupale
JF-Expert Member
- Apr 29, 2012
- 1,048
- 676
"Mambo mekumiss"
"Toka hapa. We huwa unanimiss ukiwa nashda na sex tu huna lolote"
"Me mb0na huwa nakumith mrembo wangu"
"Ctak we mu0ngo,.."
"Haya bwana me home hapa very bored nataka nije kukusalimia"
"Eehh bora uje uniletee na zawad kabtha "
"Unapenda zawad eh? Me mwenyew majanga"
"We nae mbahil kwel. Enhe unakuja saa ngap?"
"Mida ya saa 1 usiku ntakuwa hapo"
"Haya nakusubir mpenzi"
"Ila siji kwenu wala kug0ngana. Chagua sehem nzuri huko kwenu twende"
"Haha aya poa beb lakin siyo guest"
"Hahaha ucjaliiiii ila iwe sehemu ambyo i can kiss yu, c unajua mekumiss"
"hahah xawa am waiting 4 you"
Jamaa mida ya saa 12 akaanza safar ya kwenda kwao na huyo dem.
Akiwa ndan ya daladala akamtxt
"nko njian nkumbushe kituo gan?"
mesej yake hakujibiwa, lakin jamaa alidhan labda dem anaoga.
Akamtxt tena
"mchumba niambie bhas kituo gan au nshuke pale kwa shaban pana urahisi?"
Nayo hakujibiwa
Ndipo akaamua kupga bahat mbaya simu ilikuwa imezimwa.
JAMAA aliendelea na safar akaamua ashuke kwa shabani.
Alivyoshushwa tu akapga tena namb haipatikani.
Akaamua kumtext
"ndo mambo gan unanifanyia? Kama ulikuwa hutak nije kwanin umeniambia nije tunasumbuana mpaka huku. Kiukwel huo siyo ustarabu"
alikaa kdogo akaona mesage delivered akapga lakin hakupolewa..
Akaandka nyngne
"ndo umeamua na simu usipokee?? Haya bwana me nageuza ila am so disapointed in yuh"
Mesage ikawa pending.
Hapo mida ya sa 1 lakin Aliamua kuzuga mpaka saa 2 huku anajarbu kupga mara iite mara aambiwe namb haipatkan.
Ndipo akaamua kumuandkia mesage
"cjui kwanin umeamua unifanyie hivi, lakin ths is my last txt to you, i w0nt bother u again nw nageuza narud hme.
I d0nt knw if i shuld i hate yu or nat bt am real mad at yu.
Hata kama pozi cyo hvyo.
Hzo ni dharau
tchaoo"
bada ya txt akasogea stend ili apande daladala
aka0na mesage inasema
"please d0nt go nisubiri "
"we unanichukuliaje mim? Mthenge mthenge au? Nipo hapa tangu saa 1 kasoro yet unanitext d0nt go..acha dharau bwana"
"im sowry baby nitakuambia what went wrong"
"Hokei"
Jamaa akapanda gar akasepa dhake.
Alipofika home bada ya nusu SAA kupita dem akampgia
"helow uko wap? "
"nimesha0ndoka kumbe ulintext d0nt go u wanted nsubir nusu saa nyngne dah we wa ajabu kweli"
then jamaa akakataa mana he woz mad..ali0na kadharauriwa.
Mesage ikaingia
"ey am sory, niliitwa kwa bro afu akasema nisitoke nimsubiri..thats why ckuweza kuja kuku0na stendi"
"sawa "
lakin JAMAA aliwaza kama aliambiwa asi0ndoke alishndwa nin kupokea simu au kutoa maelezo ya kueleweka ili amsubiri, au wangefanya nxt tym lakin siyo kuuchuna.
aliwaza akajua anadanganywa ila alikausha
Dem akamtxt tena
"umenisamehe jaman, plz nsamehe"
"mekusamehe gudnyt"
Je unataka kujua ule muda huyu dem alikuwa wap??
Duuh kumbe alikuwa kwa bwana wake wa mtaani..
Inasemekana huyo bwana alikuja fasta kwao bila taarifa akamchukua huyo wakaenda sehemu kula chipsi mayai.
Muda wote alvyokuwa anapgiwa na JAMAA ali0na lakin aliuchuna..
Mpaka walivyoachana na huyo mpenz wake na wa mtaan ndo alivunga kumtafuta JAMAA.
Wanasema wanawake wanaweza kuwapanga wanaume 20 na wasijijue,wasijuane na wala mwngne asiumie,,.but not all the time.
Siyo ustarabu unamtoa mtu anakotoka then anafka eneo husika halafu hutokei.
Then u cuming up with Sorry,.
Its jc a story bt watu tabia hii wapo..
We ungejiskiaje unapanga apointment na mtu mtoke afu anakwambia anaumwa kumbe katoka na m2 mwngne mwny expensive treat zaid yako..
Ni upuuzi mtupu
ndo maana i always d0nt take love so sirious.
The outcome ni stress tu...!!
.