93.7 sio ya Jide?

93.7 sio ya Jide?

mchepuko

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2014
Posts
1,192
Reaction score
1,418
Wakuu the new hit radio in town kwa frequency tajwa imekua ikivumishwa saana kua ni ya jide.....ila uchunguz unaonyesha kua sio ya jide....naomba kujuzwa.
 
mbona hata humu jamvin imehiti sana na nyuzi zipo pamoja na majibu.
 
Wakuu the new hit radio in town kwa frequency tajwa imekua ikivumishwa saana kua ni ya jide.....ila uchunguz unaonyesha kua sio ya jide....naomba kujuzwa.

kumbe jibu unalo,. Unataka nini tena mkuu??
 
Wakuu the new hit radio in town kwa frequency tajwa imekua ikivumishwa saana kua ni ya jide.....ila uchunguz unaonyesha kua sio ya jide....naomba kujuzwa.

http://www.bongo5.com/ukweli-kuhusu-kituo-kipya-cha-redio-93-7-fm-dar-es-salaam-03-2014/
 
Wakuu the new hit radio in town kwa frequency tajwa imekua ikivumishwa saana kua ni ya jide.....ila uchunguz unaonyesha kua sio ya jide....naomba kujuzwa.

kwa kuongezea tu.inasemekana ofisi zake (studio) zipo mbagara zakhem.
 
P0le kwa kufatilia vitu visivy0kuhusu au unataka kujua mmilki ili uka0mbe ajira Mkuu.
 
Hiyo Radio siyo ya Lady Jaydee.

Kwa sababu mpiga debe mkuu wa Wa hiyo Radio humu JF ni Adui namba moja wa Jide.

Anaitwa #shifta .
 
Back
Top Bottom