8 Signs Your Girl is Just Using You

LOL! Kwa kweli wanawake tunaenjoy sana kufanyiwa hivyo, lakini it is not necessarily that we are using you men jamani, we just love that! Sasa hiyo number 1 mimi inanigusa moja kwa moja. Kwa kweli nina gari zuri tu, lakini kila sehemu napenda niende naye akiwa ndiye anaendesha gari. I do not have explanations for that but I trully love it, nikiwa nipo pale upande wa kushoto na yeye anaendesha, nainjoije! Akinifungulia mlango ndio kanimaliza kabisa!
 
Mimi ndio nimeolewa na mume anaenifanyia yote haya.I have a Mercedes but my hubby takes me everywhere,he cooks for me ,shower me ,breakfast in the bed kila siku,washes my car ,my job is shopping chezea computer.hata akiniletea lunch nyumbani akikosea kuorder anarudisha .hapa nilipo sijui kupika nimesahau,mume wangu yaani nampendaje.hata ngazi Za humu ndani ananibeba humu ndani.mwanaume wa kiafrika hawezi kunihudumia

umezaliwa Magu akaenda Dar kwa mara ya kwanza ulipochaguliwa kujiunga UDSM .Kwa sasa unafanya kazi Halmashauri ya Maspaa Kinondoni ,unaishi Sinza . Iweje mtu wa namna hii awe na ndoto kuwa anaaishi Wall Street US miaka yake yote ,Something must b wrong !!!
 
LOL! Kwa kweli wanawake tunaenjoy sana kufanyiwa hivyo, lakini it is not necessarily that we are using you men jamani, we just love that! Sasa hiyo number 1 mimi inanigusa moja kwa moja. Kwa kweli nina gari zuri tu, lakini kila sehemu napenda niende naye akiwa ndiye anaendesha gari. I do not have explanations for that but I trully love it, nikiwa nipo pale upande wa kushoto na yeye anaendesha, nainjoije! Akinifungulia mlango ndio kanimaliza kabisa!

Ila mengine si uwe unafanya na wewe
 
Hahaha, hebu angalia kwanza alivyo disconnected! Hajaelewa hata topic inahusu nini. Tunaongelea mshkaji, rafiki tu anaetumiwa na mdada kwa manufaa binafsi (zombie)

Yeye anamuwaza tu mumewe. Hajui wenzie tunafanyiwa mangapi. Madhara ya kukosa kitchen party haya!

hata nyimbo tu zilizohit hazijui

siku akiachwa na huyu baba atajinyofoa nywele za miguuni huyu!

Hitimisho: hivi inakuwaje ndugu wanafanana sura hawafanani akili?

Mi nashaka na huyu mzungu wa natalia kwa kweli, kuna wazungu wa bandidu ajabu mi nahisi akepata mjeruman au mdenmaki angeisoma dunia
 
Acha mbwembwe na hadithi za pwagu na pwaguzi . Mwanamke anahitaji kupendwa na kubembelezwa pia awe na mwanaume ambaye ni gentleman sio mapenzi ya kuchezeana akili kama ulivyoainisha hapo .Kama ulifikiri hakuna wanaume wa kiafrika wanaowasaidia wake zao umebugi step kwa kuingia mkenge wa kukimbilia kuolewa na third class mzungu usiyempenda naye anajua humpendi hivyo anajikomba kwa kuwa bushoke .

Ungeolewa na first class mzungu kama kina Prad Pitt ama Mark Zuckerberg angekufanyia hayo ?ungeleta hizo mbwembwe za kuwakashifu kama,wajomba na baba yako wenye ngozi ya kiafrika!

Kama ulikuwa kwenye ubongo wangu vile
 
umezaliwa Magu akaenda Dar kwa mara ya kwanza ulipochaguliwa kujiunga UDSM .Kwa sasa unafanya kazi Halmashauri ya Maspaa Kinondoni ,unaishi Sinza . Iweje mtu wa namna hii awe na ndoto kuwa anaaishi Wall Street US miaka yake yote ,Something must b wrong !!!
And your dreams.Wanaume wa kizungu wanadhamini mwanamke mno waafrika wako so abusive.nilidate mbongo mmoja once BP .wanaume wa Kibongo nomaaa ,
Chezea mtoto wa fisadi
 
I do wish huja waambukiza ufisadi wako wanao
 
Hahaha, hebu angalia kwanza alivyo disconnected! Hajaelewa hata topic inahusu nini. Tunaongelea mshkaji, rafiki tu anaetumiwa na mdada kwa manufaa binafsi (zombie)

Yeye anamuwaza tu mumewe. Hajui wenzie tunafanyiwa mangapi. Madhara ya kukosa kitchen party haya!

hata nyimbo tu zilizohit hazijui

siku akiachwa na huyu baba atajinyofoa nywele za miguuni huyu!

Hitimisho: hivi inakuwaje ndugu wanafanana sura hawafanani akili?

konnie unahitimisaha kabisaa kuwa huyu zombie la kike ni ndugu yangu!?WILL SEEYU IN COURT!
 
Hahahahahha nimecheka kwa herufi kubwa huku eti zombie la kike? Haya tuambie we namba ngapi inakuhusu?
 
Back
Top Bottom