8/02/2015: Yanga vs Mtibwa match preview and live coverage

hii naona mbili zinawatosha...sijui kama watafufuka tena...wasubiri next season...
 
Mpira uko vipi kwa ujumla?? Butua butua au mtibwa wanatandaza soka la kitabuni??
 
Barthez yupo chini akigangwa...
 
Game ikiisha mtuwekee msimamo wa ligi nzima kwenye uzi huuhuu!
 
Dk 90

Yanga 2 - 0 Mtibwa

Kuna Dk 4 za nyongeza...
 
Hiyo clip ya kaburu akipepesa nahiitaji kwa gharama yoyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…