7 Types of prostitutes

eiMEN
[1QUOTE="princess ariana, post: 34406157, member: 381793"]
Play international match
.
umesahau
Malaya waliojivika uigizaji Movie
[/QUOTE]
 
Tuzidi kuwaombea mabinti zetu(wenye mabinti wataelewa how it feels), itakuwa bahati kuona binti yako hayupo popote katika hizo categories hapo.
 
Nop but he cant generalise them stupiditly that way. He must have manners, how can you call them that way? Is he perfect?!
Even if you are doing it, I didn't mean to mention anybody....
 
Nop but he cant generalise them stupiditly that way. He must have manners, how can you call them that way? Is he perfect?!
Utakuwa hujamuelewa mtoa mada. Kwani hakuna malaya wanaojipanga barabarani? Hakuna mosque/ church goers ambao ni malaya wa kutupwa? Hajamaani kila mwanamke lazima afit kwenye category mojawapo....unaweza kuwa mwanamke lakini haupo kundi lolote kati ya hayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kila uoanacho ndivyo kilivyo, mambo yapo kinyume sana, waweza ona kusikia kwa kinyume kabisa, tumia utashi zaidi ya ulichoandika.
Kuna makahaba Wa kike na kiume huwezi wadhania kwa hizo nadharia ulizoweka yaani wana double faces tuko nao kwenye jamii humu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…