Kumbe Jobs na gates hawakua na uhusiano mzuri aiseeHe predicted that steve jobs was a failure and knew nothing about computers. He even called apple CEO when he realized that apple was in the move to buy NEXTSTEP and bring back steve on board as a CEO, gates said "Why do you want that guy back? I tell you he is a failure and he knows nothing about computers and technology. He is useless".
But to his suprise his prediction was wrong, steve managed to turn apple into a mult bilion company we see today, selling stylish and most valuable advanced gadgets.
Walikuwa hawaishi kupondana na steve alikuwa anasema kuwa gates knows nothing about class and style.Kumbe Jobs na gates hawakua na uhusiano mzuri aisee
walinyanganyana mademKumbe Jobs na gates hawakua na uhusiano mzuri aisee
Ila still Gates ni mchumba kwa Jobs na angekua mzima wanaestimate kwamba angekua don kuliko bill apple yenyewe si ipo kwenye top 10 ya kampuni kubwa dunianiWalikuwa hawaishi kupondana na steve alikuwa anasema kuwa gates knows nothing about class and style.
Alikuwa anasema gates ana bahati tu kuwa mambo yake mabovu mabovu yamefanikiwa kibiashara lakini hayavutii na wala siyo mazuri.
Pia aliwahi kumdiss gates kuwa aliwaibia wazo la UI akaliweka kwenye windows ambapo gates akamjibu kuwa hilo wazo halikuwa lake akampa mfano ya kwamba ni sawa kuna sehemu watu wawili wameona kitu wakakitamani, yeye gates akavamia usiku kuiba hicho kitu akakuta steve ashakichukua kwa kukiiba pia, lakini gates akawa tayari ana idea nacho pia akaenda kutengeneza.
Na steve aliposikia gates kastaafu na kuanzisha bill and melinda gates, steve alisema kuwa that is where gates deserved to be, not in technology because he has no class and style.
Icho kisa cha wapi browalinyanganyana madem
Sijui kuhusu la steve kuwa angekuwa na ela kuliko gates.Ila still Gates ni mchumba kwa Jobs na angekua mzima wanaestimate kwamba angekua don kuliko bill apple yenyewe si ipo kwenye top 10 ya kampuni kubwa duniani
Duh shukran bro kwa ufafanuzi wako mzuriSijui kuhusu la steve kuwa angekuwa na ela kuliko gates.
But steve alikuwa mtu mmoja selfish na arrogant sana.
Sema his legacy inaficha sana his dark side.
Sema he believed and did exactly what he believed in, there was no way you could change his mind from what he believed in hata kama atafail.
Hata kuhusu kansa yake, walipogundua ana kansa ya kongosho walitaka wamfanyie operation mapema akaleta ubishi eti kuna tiba mbadala akaanza kunywa juice za carrot na kula matunda na mboga za majani.
Alipokuja realize kuwa anazidi kuumwa it was too late hata alipokubari fanyiwa operation ilikuwa ishasambaaa
Pamoja sana mkuu.Duh shukran bro kwa ufafanuzi wako mzuri
Na wozniak nae yupo wap saiviPamoja sana mkuu.
He was arrogant, ndiyo maana watu wote alianza nao apple waliondoka na hakuna hata mmoja mwenye share.
Wozniak aliondoka na yule mzee jina kake nimesahau yeye alijiondoa mapema akauza share zake & 800.
Asingeuza leo zingekuwa na thamani ya & 34 bilions.
But ndiyo hivyo yupo kafulia balaa na uwa hatajwi tajwi kama mwanzilishi wa apple wakati hata logo ya kwanza na ma memorandum aliyaandaa yeye huyo mzee.
Hapa ilikuwa wivu wa kibiashara mkuu maana ukweli Steve Job hakuwa msomi kama Billy GateHe predicted that steve jobs was a failure and knew nothing about computers. He even called apple CEO when he realized that apple was in the move to buy NEXTSTEP and bring back steve on board as a CEO, gates said "Why do you want that guy back? I tell you he is a failure and he knows nothing about computers and technology. He is useless".
But to his suprise his prediction was wrong, steve managed to turn apple into a mult bilion dollar company we see today, selling stylish and most valuable advanced gadgets.
Jamaa yupo anakula zake maisha ni milionea tu na he has no regrets kwa kujiondoa apple maana anadai angekufa kwa kihoro.Na wozniak nae yupo wap saivi
Gates hakuwa anaamini katika ideas za steve ila baadae alikuja kuamini hicho kitu.Hapa ilikuwa wivu wa kibiashara mkuu maana ukweli Steve Job hakuwa msomi kama Billy Gate
Hivi inaweza kua sababu hadi mpaka leo Microsoft softwares zinatumika maofisini, mashuleni kuliko appleGates hakuwa anaamini katika ideas za steve ila baadae alikuja kuamini hicho kitu.
Mfano alipozindua iphone ile ya kwanza gates aliwatumua email wafanyakazi wote wa microsoft akawambia itabidi watafte jinsibna wao ya kufanya kama apple katika bidhaa zao.
Wajua kwa kipindi kile mambo aliyokuwa anafanya steve yalikuwa kwa gates yanaonekana hayana maana kwasababu bado watu walianini computers are for enterprises and for business zaidi.
Sio mambo ya entertainment sijui good looking icones n.k ilikuwa kama inaonekana kupoteza muda