7.7bn/- Muhimbili Paediatric block handover next month

Kubwajinga

JF-Expert Member
Jan 23, 2008
2,194
297
7.7bn/- Muhimbili Paediatric block handover next month

By Dominic Nkolimwa; 25th January 2010

Muhimbili(7).jpg

Muhimbili National Hospital

Health and Social Welfare ministry is set to handover the new paediatric complex block build by the government at a cost of 7.7bn/- to the Muhimbili National Hospital (MNH) administration next month.

Health and Social Welfare ministry permanent secretary Blandina Nyoni said in an interview yesterday in Dar es Salaam that the contractor undertaking the construction works was doing final touches.

Nyoni said the government had already set aside funds, whose amount however could not be immediately known, for the fixing of all necessary equipment and appliances in the block.

“We are just waiting to receive the building from the contractor so that we can start fixing the equipment and appliances,” said Nyoni.

The PS said the block, designed to accommodate more than 200 patients at a ago, would be of great help to the national hospital.

She said the government had decided to finance construction of the block due to the fact that the MNH was unable to do so despite the fact that it received much more patients’ everyday.

For his part, the MNH Public Relations Officer Amaniel Aligaesha said the block was being built under the supervision of experts from the Dar es Salaam-based Ardhi University.

He said although the building was not officially handedover to the government, part of it was already under use due to pressure that the hospital was facing. The completion of the block and subsequent handover would help decongest the hospital, he said.

SOURCE: THE GUARDIAN

Linganisha na Hekalu la BoT

01_10_aak7f0.jpg

Hii ndio Ikulu ya BOT kwa TShs. 1.2 Billion.

Ina maana nyumba ya Gavana ni sawa na robo ya wadi ya watoto Muhimbili?

Hivi priorities zetu zikoje?
  • Hospitali zetu mikoani si-zingenufaika na hiyo pesa iliyoenda BOT ambayo ni sawa na robo ya hilo jengo la Muhimbili?
  • Jengo la Muhimbili limechukua miaka kibao bila kukamilika (sio ajabu kwa "ukosefu wa pesa"), lakini jumba la Governor pesa yake haina shida kupatikana overnight.
  • Jengo la Muhimbili halina kitu ndani baada ya kukamilika, linganisha na anasa zilizomo kwenye jumba la gavana na sio ajabu fanicha pia zimo.
  • Jengo la Muhimbili waliwatumia wataalamu wetu wa Chuo cha Ardhi, lakini la BoT hawakuwahitaji na bei za BoT zinakuwa za ajabu kwa nini?
  • Hebu linganisha simplicity ya jengo la Muhimbili (vent za concrete, bati la kawaida n.k.) na vikorombwezo vya anasa kwenye jengo la gavana, where are our priorities?
 
..hii kali sasa.

..yaani mnataka kumtuhumu GAVANA kwamba humo ndani ya nyumba yake anatumia INCUBATOR kama vitoto vichanga vinapokuwa kwenye NICU[neonatal intensive care unit].
 
..hii kali sasa.

..yaani mnataka kumtuhumu GAVANA kwamba humo ndani ya nyumba yake anatumia INCUBATOR kama vitoto vichanga vinapokuwa kwenye NICU[neonatal intensive care unit].

Mkuu Joka,
Nafikiri air conditioning system ya hilo hekalu la Gavana inazidi gharama ya incubator.

Badala ya kujenga hospitali zetu zikaokoa maisha, tunawajengea mahekalu watu ambao tayari tunawalipa mishahara ya ajabu-ajabu. Tutafika kweli?
 
..hii kali sasa.

..yaani mnataka kumtuhumu GAVANA kwamba humo ndani ya nyumba yake anatumia INCUBATOR kama vitoto vichanga vinapokuwa kwenye NICU[neonatal intensive care unit].

duh, kweli bongo kali

sasa tusisahau kwamba hilo jengo limejengwa miaka nenda miaka rudi... ulizia renovation au ujenzi wa nyumba ya gavan, nyumba ya idris rashidi, nyumba za mwaziri nk zilitumia mda gani?

Its not about priorities, its about ignorance in priorities kwa hawa leaders

Hivi tumeshajiuliza kama huduma za meno, emergency, kisukari, moyo, ngozi, watoto nk kama zinatosha?
 
Kiwavi,
Hilo swali lako ndio na mimi linalonikuna kichwa.

Utakuta Pesa za miradi inayowanufaisha wananchi huwa hazipo za kutosha toka kwenye bajeti na miradi yake huwa inajikongoja-kongoja mpaka inachakaa kabla haijatimia.

Lakini inapokuja hii miradi "YAO" utashitukia inakamilika kama unavyoota uyoga overnight, hivi ni kwa nini? Kwani hii miradi yote haitokani na pesa zetu?
 
Inatia uchungu sana hasa ukizingatia tunashindwa kununua mashine za million 70 za PCR na tunatembeza damu za watoto wetu mawiki na mawiki bila kupata majibu, tena wakati mwingine zinapotea kumbe ma-VX 8 tu yangemaliza shida ya nchi nzima

hebu fikiria jinsi ile ya idris ilivyopigwa fasta na kimyakimya
 
Ndo maana nawaunga mkono 'Oppositions' kwa kuomba katiba mpya. Undani wa haya yote ni kwamba kuna udhaifu mkubwa ktk mchakato unaotumika kuwapata viongozi wetu.

Mchakato huu umeweza kuwapa madaraka hata watu wasio na uwezo. Bahati mbaya pia hakuna mwanya wa kuwadhibiti. Hata mwenyekiti wa kitongoji hadi rais. Tukishapata bogus basi mpaka miaka 5 (au 10 kwa wana CCM).

Wanaamini hawaguswi kwa makosa. Wako kimya na hata wanaposoma mijadala kama hii hukaa kimya hutawasikia wakijibu au hata kuchangia.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom