haitakufa labda inaweza filisika wakaiuza ikanunuliwa na wajasiliamali wengine au makampuni mengine ya electronic kisha itarudi tena hewani, mmesahau kampuni ya landrover ilifilisika ikauzwa dola 10, now kila mtu anaijua freelander, anaijua range rover vogue etc