6 Bad Reasons to date anyone . . .

Akitokea anaependezwa na nnaeona kinamfaa ntasukumizia hata kwa lazima....!

Utawafanyia hivi wangapi? Mbona yatakushinda??!!!
Kwanza umeenda kanisani leo??
Mi mwenzako sijaenda, nina ruhusa ya shetani . . . lolz
 
Utawafanyia hivi wangapi? Mbona yatakushinda??!!!Kwanza umeenda kanisani leo??Mi mwenzako sijaenda, nina ruhusa ya shetani . . . lolz
Mmoja tu unaemfaa...kwani unagawanyika mpaka wawe ‘wangapi‘?Ahhh mi nawasiliana na baba nikiwa hapa hapa sihitaji kuunganishwa!
 
ndio ruhusa za shetani hizi . . . .
 
Mkuu CPU thanx for advisory explanations, they are realy enriched with all senses of what we call "logic". Binafsi nitayafanyia kazi!
 
Ningekushauri kama una lengo la kuwasaidia watu ungeandika kwa lugha inayoeleweka kwa watu wengi na kwa ufasaha!
 
Huwa nakubali kukosolewa kama nimekosea kama nikionyeshwa.
Naomba ndugu uniambie sehemu gani sijaandika kwa ufasaha, au sehemu gani nimeandika hiyo lugha pasipoeleweka?
Natumaini unionyeshe ili nipafanyie kazi
 
Kwa kweli nowadays watu wanadates for the sake of dating, na hii inatokana na uhalisia kwamba mahusiano mengi hayampi mtu kile anachotaka,utakuta mmoja yuko in love mwingine kafata kitu fulani pale, mwingine kaona umri unaenda hivo hana jinsi ya kufanya ni kujishikiza popote tu ili mradi na yyeye awe na family yake. kwa kweli hii hupelekea mahali pabaya sana kwenye mahusiano, na hapo cheating inakuwa kubwa kuliko unavyofikiri
 
  • Thanks
Reactions: CPU

Halafu baadae inakuja WANAWAKE WA SIKU HIZI HAWANA MAPENZI YA KWELI
Au utasikia WANAUME WA SIKU HIZI WAONGO SANA, ATAKUONGOPEAAAAAA NA MIMBA JUU THEN ANAKUACHA
 
Ni kujitambua tu mkuu unless matatizo yataendelea kujirudia kila siku.... unajua bora mpendane mapenzi ya dhati then hata mkipata matatizo ndani ya uhusiano kama mlipendana kwa dhati ni rahisi kuya solv na kuanza upya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom